Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

wewe ni Mchoyo

nimekujibu na kukusaidia basi hata kunipa (Like) Umeshindwa una roho mbaya wewe. Tafadhali usiende kwenye wanaouza

Asali Feki ukawaharibia Biashara zao. Wewe ukigunduwa kuwa hiyo Asali anayouza ni feki nyamaza kimya. Nenda sehemu

nyingine kanunuwe Asali usiharibu Biashara za Watu tafadhali.

Lakini mkuu, akinyamaza kimya wasiojua si wataendelea kupigwa tu?! Bora awaseme wapunguze au waache huo ujanja kabisa.
 
Mi nawekaga kwenye mikate tu ila sijui ipi niipi sasa nikiamkatu naenda kui test kwa kibiriti..
 
Help ndugu zangu
Jamani apo juu kwenye maumivu ya jino sjaelewa anavyosema changanya sehemu tano ina maana ya vijiko vitano vya chakula au?
 
Yaah! Kumekucha ngoja niingie sokoni nionane na hao ambao kila mtu anasema yangu mbichi yangu mbichi.....!
 
Wakuu habari zenu!

Tafadhali naomba kwa wenye utaalamu wa kutambua asali mbichi naomba wanifahamishe jinsi inavyokuwa au sifa yake kuu. Nataka ninunue ili niitumie kama tiba kwa ugonjwa wangu.Nimepita sehemu zinazouza nimeshindwa kutambua asali mbichi ni ipi na iliyopikwa ni ipi na kila muuzaji anasema anauza asali mbichi! Ahsanteni

Mara nyingi asali mbichi inakuwa nzito sana,ambayo ni fake huwa ni nyepesi sana hasa unapokuwa unaimimina
 
Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Paka asali
katika macho huzidisha nuru ya
macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma, conjuctivits
na maradhi mengine ya macho,
kila siku paka asali kaika nje ya
jicho na ndani ya jicho (kwa ndani
ya jicho unaweza kutumia unyoya
au wa kuku au ndege yoyote yule)
kufanya hivo asali hupigana na
kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Mkuu MziziMkavu naomba ufafanuzi zaidi kuhusu hili....
 
Last edited by a moderator:
jaman cjaelewa hapo kwny asali na ndimu,nliambiwa ni sumu ukila unaweza kufa,iweje hapo umeitaja?
Asali nandimu au Asali na Limao ukichanganya na maji ya uvuguvugu huwezi kufa ukinywa ni dawa nzuri kwa kila maradhi. Wewe kwani unataka kufa? nikufundishe dawa ukila utakufa?
 
Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Paka asali
katika macho huzidisha nuru ya
macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma, conjuctivits
na maradhi mengine ya macho,
kila siku paka asali kaika nje ya
jicho na ndani ya jicho (kwa ndani
ya jicho unaweza kutumia unyoya
au wa kuku au ndege yoyote yule)
kufanya hivo asali hupigana na
kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Mkuu MziziMkavu naomba ufafanuzi zaidi kuhusu hili....
Nikufafanulie kitu gani usicgoelewa? kila kitu kipo wazi? umeshaambiwa ujipake Asali kama wanawake wanavyo paka wanja machoni. Unataka nikuelezi kivipi zaidi ya hapo?
 
Nikufafanulie kitu gani usicgoelewa? kila kitu kipo wazi? umeshaambiwa ujipake Asali kama wanawake wanavyo paka wanja machoni. Unataka nikuelezi kivipi zaidi ya hapo?

Samahani... naona leo una hasira! Nilitaka kujua hapo ulipoandika "kaika nje ya jicho" ni wapi?
 
Ndugu zangu madoctor naombeni kufahamishwa hili!. Niko na mwathirika wa huu ugonjwa.
 
Huu sio ushauri wa kitaalamu: Kama hamsumbui, ndiyo anaweza!
 
utamjazia mzgo wa sukar na choresterol mwilin wakat hana insulin ama kongosho lake bovu
 
Mzizimkavu, hii thread sikuwahi kuiona kabisa!! aisee kuna nondo za muhimu sana - Asante.

Kuna mambo ya kuyafanyika kazi humu kuanzia leo hii.
 
mkuu Mzizi mkavu asali na mdalasini vinasaidia kuongeza nguvu za kiume?na matumizi yake yakoje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom