Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
wewe ni Mchoyo
nimekujibu na kukusaidia basi hata kunipa (Like) Umeshindwa una roho mbaya wewe. Tafadhali usiende kwenye wanaouza
Asali Feki ukawaharibia Biashara zao. Wewe ukigunduwa kuwa hiyo Asali anayouza ni feki nyamaza kimya. Nenda sehemu
nyingine kanunuwe Asali usiharibu Biashara za Watu tafadhali.
Lakini mkuu, akinyamaza kimya wasiojua si wataendelea kupigwa tu?! Bora awaseme wapunguze au waache huo ujanja kabisa.