Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ukitaka kuwapata Wabongo wengi watajie hapo kwenye bold nyekundu utaona hata bei ya asali kwenye soko itapanda. Maana tunapenda hiyo kitu kupita kiasi na ndio maana mabango ya waganga wa kienyeji yamekuwa yakilenga hiyo kitu.
Hapa utafanya biashara sana.
Jamani mwenzenu huwa nikila asali tumbo linaniumaa why??
Cc: Mzizi mkavu
ıtakuwa vizuri ukifanyia kazi dawa yangu pia itakusaidia mambo haya hapa chini:Tutafanyia kazi kaka MziziMkavu tena naanza na mimi, hubby na bibi yangu mwenye matatizo ya figo. Vp kwa watotot ni salama?
Ndio Sahihi kuchanganya Maji ya Moto na Asali na Tangawizi na Mdalasini unatibu maradhi mengi tu mwilini mwako mkuu.Nisahihi huwa nachanganya maji ya moto +asali+tangawizi + mdarasini? Au nivizuri kuitumia bila kuichanganya na maji
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nataka kufaham utafiti umefanyia nchi gani, sample size na methodology gani ulitumia ..je data ulianalyze kwa kutumia software gani..?? au kwa kifupi nataka kujua kama umesha publish utafiti wako kwenye journal au link yoyote..by the way hongera kwa utafiti na nitafurahi kama uta respond na maswali awali..!
Kakwambia amefanya mwenyewe tatizo lqko ni kukalili misamiati ua research na unadhani kila mtu lazima atumie njia ulizo fundishwa wewe kwq elimu ya wazungu
Mkumbushe kwamba kabla ya kuja hao wazungu na ma-sample, ma research, ma publication yao mababu zetu walikuwa wanajitibu pia!!
Kakwambia amefanya mwenyewe tatizo lqko ni kukalili misamiati ua research na unadhani kila mtu lazima atumie njia ulizo fundishwa wewe kwq elimu ya wazungu
Acha propoganda wewe, yeye mwenyewe kaelewa nilikua namaanisha nini ndo mana katoa like...kugundua kitu lazima kuwe na steps and it is should be shared worldwide c o uchawi kushare knowledge na kama ume copy na ku paste somewhere u have to acknowledge source to avoid plagiarism..Nakushauri bichwa lako litumie kudadisi na kuhoji mambo au rudi dalasani kama vipi!
Jombi ckusomi vizuri kila kitu lazima kiwe na steps hata mtoto kutembea lazima kuwe na steps anaanza kutambaa, kusimama halaf anatembea sasa sembuse utafiti...halafu uwe unatoa mifano kukazia mada c o unasema tu hesabu za leo wamemodify kuliko zamani bila mifano mi naona kama porojo...Acha kukariri elimu ya madesa kugundua kitu, mara nyingi huwa hakuna steps haswa kama haufanyii maabara, ndiyo maana unaona hesabu za leo wamemodify sana kuliko huko zamani kwani waliogundua hawakwenda step by step kama leo hii, hata baadhi ya mambo ya technolojia, leo watu wamepeleka mbali zaidi haswa mawasiliano.
Jombi ckusomi vizuri kila kitu lazima kiwe na steps hata mtoto kutembea lazima kuwe na steps anaanza kutambaa, kusimama halaf anatembea sasa sembuse utafiti...halafu uwe unatoa mifano kukazia mada c o unasema tu hesabu za leo wamemodify kuliko zamani bila mifano mi naona kama porojo...