Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

1932424_266508506848627_1415050134_n.jpg
attachment.php

attachment.php

GINGER CAN CONTROL DIABETES~

Ginger a common spice in India kitchens can manage high levels of blood sugar which create complications for long-term diabetic patients, a new study has claimed.

"Ginger extracts obtained from Buderim Ginger were able to increase the uptake of glucose into muscle cells independently of insulin,"Professor of pharmaceutical chemistry Basil Roufogalis who led the research said in a statement.

Health benefits of ginger:

Cure for nausea
Helps with bronchitis
Reduces dizziness
Stops vomiting
Helps with morning sickness
Cure for diarrhea
Preventing osteoarthtritis
Helps with gas
Reduces menstrual cramps
Cure for cough
Prevents cold
Helps with upset stomach
Cure for baldness
Prevents colon cancer
Treating malaria
Juice can heal burns and relieve pain
Fresh helps with snake bites
Cure for rheumatism
Stimulates an appetite
Helps with headache and migraine

MARADHI INAYOTIBU TANGAWIZI HAYA HAPA CHINI:

Faida ya afyaya tangawizi:

Tiba yakichefuchefu

Husaidia maradhi ya
kurithi

inapunguza
kizunguzungu

inatibu kukata mtu kutapika

Husaidia kwa
ugonjwaasubuhi

Tiba ya
kuharisha

kuzui a
osteo arthtritis

Husaidia
na gesi

Inapunguza
hedhi tumbo

Tiba ya
kikohozi

kuzuia
baridi

Husaidia kwa
upset tumbo

Tiba ya
upaa

Kuzuia S
aratani ya matumbo

kutibu M
alaria

Juisi unaweza
kuponya nzito na kupunguza maumivu

Safi
husaidia kwa kuumwa na nyoka

Tiba ya
rheumatism

kuchochea hamu ya kula

Husaidia
na maumivu ya kichwa na Kipanda Uso

Tangawizi Inatibu kuchelewa kupata siku kwa wasichana (hedhi)

Husaidia nguvu za kiume

Inasaidia ulimi

Mafua baridi

Matatizo ya tumbo

Goita

Uvimbe

Koo

Kuharisha

Tindikali

Kipindupindu

MATAYARISHO

Chemsha, kunywa ikiwa yamoto.

Unywe tangawizi mbichi iliyotwangwa kama chai bila sukari.

Kikombe kimoja kwa kila siku, kwa muda wa siku 7 Au siku 14 au siku 30.
 
Attachments

  • GingerJuice7.jpg
    GingerJuice7.jpg
    91.6 KB · Views: 825
  • Ginger-tangawizi.jpg
    Ginger-tangawizi.jpg
    29.3 KB · Views: 784
Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na
haina madhara kwa binadamu.

Nimegunduwa ugunduzi wangu juu ya faida ya asali kwa binadamu nimeona bora na mimi niwape wenzangu faida katika uchunguzi wangu.

Nimegunduwa ikiwa utatumia asali kuinywa asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu kijiko kimoja na wakati wa usiku wa kwenda kulala ukila hiyo Asali tena kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 itakusaidia kukutibu na kusafisha ini na figo uchafu ulikuwepo ndani yake.

Kwa hiyo ninawapeni ushauri wangu muwe munatumia asali ya nyuki kila siku kwa huo muda mutafaidika na huo uchunguzi wangu asanteni.

Masharti ya Asali ni hivi iwe asali ya nyuki wakubwa tena iwe asali mbichi haijaipikwa wala kuchanganywa na kitu chochote kile. Fanyeni kazi utafiti wangu

Mje munipe Feedback asanteni sana.

attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • asali.jpg
    asali.jpg
    5.2 KB · Views: 9,500
  • honey-kills-bacteria1.jpg
    honey-kills-bacteria1.jpg
    123.6 KB · Views: 9,533
  • nyuki.jpg
    nyuki.jpg
    13.8 KB · Views: 55,946
Uko vizuri kaka,huu mwili ukiupa ile kitu unataka basi tegemea wonders jinsi utakavyokufaidisha.

Shukrani
 
Ila kwa udadisi tu ktk huo uchunguzi wako,how did you come with 40 days????
Nimefanya utafiti kwangu mimi mwenyewe ndio nikagunduwa huo ungunduzi wangu kuwa asali inao uwezi wa kusafisha Ini na Figo ukiitumia siku 40 Mfululizo na pia itakuwezesha wewe Mwanamme Dushelele (Penis) lako kusimama kila wakati unapo taka kulitumia kimapenzi kazi kwenu.
 
Naanza soon mkuu
 
Ukitaka kuwapata Wabongo wengi watajie hapo kwenye bold nyekundu utaona hata bei ya asali kwenye soko itapanda. Maana tunapenda hiyo kitu kupita kiasi na ndio maana mabango ya waganga wa kienyeji yamekuwa yakilenga hiyo kitu.
 
Nataka kufaham utafiti umefanyia nchi gani, sample size na methodology gani ulitumia ..je data ulianalyze kwa kutumia software gani..?? au kwa kifupi nataka kujua kama umesha publish utafiti wako kwenye journal au link yoyote..by the way hongera kwa utafiti na nitafurahi kama uta respond na maswali awali..!
 
Nimefanya utafiti kwangu mimi mwenyewe ndio nikagunduwa huo ungunduzi wangu kuwa asali inao uwezi wa kusafisha Ini na Figo ukiitumia siku 40 Mfululizo na pia itakuwezesha wewe Mwanamme Dushelele (Penis) lako kusimama kila wakati unapo taka kulitumia kimapenzi kazi kwenu.

Hapa utafanya biashara sana.
 
Back
Top Bottom