Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

Jf kwangu ni sehemu muhimu sana japokuwa miaka ya karibuni kumekuwa na upuuzi mwingi kuanzia mmiliki mwenyewe, mods wake mpaka wanachama. Jf imeanza kuwa kama instagram kwa maana mambo ya kijinga ndio yanayothamaminiwa hasa na uongozi wa jf. Watu wengi pontential huwa hawapost sana na hawana maneno mengi wao huangalia unaandika nini then anakufuata pm unaelewana nae tofauti na wanaopost hovyo wengi wao ni wapenda attention. Lakini si neno kwa kuwa bado kuna watu wa maana licha ya wajinga wengi, jf itaendelea kuwa mtandao bora miaka kadhaa ijayo.
 
Back
Top Bottom