Matumizi ya akili bandia (AI) yahofiwa kushusha ubora elimu

Ukiwa na akili za kawaida AI itakua na manufaa sana kwako kama hiyo Cha GPT
 
Hawa tunawasomba kila siku waingie kwenye mfumo, kikiwa kinatangazwa kitu kipya wao huwa ni kelele tu.

Kesho na keshokutwa najua atakuwa mtumiaji mzuri tu wa AI na hata hoji.

Saizi anafuraha anatumia internet, hata kitabu chake kitakatifu anakipata tu kwanjia ya internet na tunasonga nao hivyo hivyo.

Kwenye michango kimawazo hawawezi kutusaidia hata siku moja zaid ya kukatisha tamaa kwa kuja na mitazamo hasi.

Duniani hakuna mwenye mpango na mfia dini. Wewe kula starehe zako za imani kivyako.
Sisi na dunia yetu tuachieni tusome tuielewe na tuiendeleze.

Watu wote wangekuwa watu wa imani kali, bhasi hata hzi simu wala computer zisingekuwepo. Tungekuwa kwenye dark ages
 
Waige marangapi akati ana Application ya kitabu cha hayo mafundisho yake kwenye simu
 
Zilipoanza simu na mitandao, huko kwenye makanisa yao wakaviita ni mpinga kristo. Sasa hivi wana accounts za mobile money kwa ajili ya kupokelea sadaka na kila miongoni mwa hayo 'makanisa' yao yana social media accounts.
Wamesha sahau habari za mpinga Kristo.
 
Au tumtangaze mpinga kristo ni mshindi? 😀😀
 
Amesahau mademu bandia wa elon musk. Mbona hajawazungumzia hao
 
Hakuna namna, maana tukuwa wengi pasipo faida, bahati mbaya wingi huo una ujinga mwingi unaotumika kukwamisha zaidi.
Afu hii ni kweli.

Kwanini tusitrain masenary wawe kama pastor MacKenzie wa kenya?

Yaani wawasombe kama nguruwe wajifukie kaburini tu wote wapotee kwenye uso huu wa ardhi
 
Afu hii ni kweli.

Kwanini tusitrain masenary wawe kama pastor MacKenzie wa kenya?

Yaani wawasombe kama nguruwe wajifukie kaburini tu wote wapotee kwenye uso huu wa ardhi
That's a best approach in trimming to depopulate.
Wenzetu wameanzisha uhuru na ujinga mwingi sababu wanajua mkiwa wengi ni rahisi kuwa controlled, wakati mkiwa wachache ni rahisi kutawala wengine
 
Ukweli Mimi nikipata upenyo wa kuzungumza na wanaosoma nawahimiza waitumie hii rununu kadri wanavyoweza ili kufahamu mambo ambayo walikuwa wanafundishwa Darasani hawaelewi!!!
 
Fikra zako zimepofushwa usiweze kutambua lolote, so pathetic!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…