Teknolojia hiyo ni kujua kweli ya Mungu inayopatikana kwa kusoma maandiko yake.Inabidi sasa wewe na wenzio mnao muabudu Mungu mje na teknolojia ya kuwatoa watu kwenye uzezeta huo wa kiushetani!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teknolojia hiyo ni kujua kweli ya Mungu inayopatikana kwa kusoma maandiko yake.Inabidi sasa wewe na wenzio mnao muabudu Mungu mje na teknolojia ya kuwatoa watu kwenye uzezeta huo wa kiushetani!!!
Waabudu shetani nimewakamata kunako, tulieni sindano iwaingie.Alama ya mnyama ni nini, na ipi?
So proud this kund of kipofu wa fikraFikra zako zimepofushwa usiweze kutambua lolote, so pathetic!!
Hiyo bunduki umenisonteshea, nakugeuzia wewe.Usipende kutafuniwa, tafuta maarifa na ukweli uweze kukuokoa.
Mungu yupi huyoTeknolojia hiyo ni kujua kweli ya Mungu inayopatikana kwa kusoma maandiko yake.
Kumcha Mungu ni hekima na ukweli, kujiepusha na uovu ni maarifa.Hiyo bunduki umenisonteshea, nakugeuzia wewe.
ntaupata wapi huo ukweli na maarifa?
Mzee naishia hapa, mtafute jamaa anaitwa kiranga mtaelewana zaidi.Mungu yupi huyo
Na maaandiko yake yako wapi mkuu
Waabudu shetani?Waabudu shetani nimewakamata kunako, tulieni sindano iwaingie.
Mtafute jamaa anaitwa kiranga mtaelewana zaidi.Waabudu shetani?
Kwanza pole sana na straw man zako hzo,
Mie siabudu chochote, simjui hata huyo Shetani
Wewe umejuaje kuwa naaabudu huyo shetani?
Huyo shetani waweza kunionesha nami nimjue?
Au ni mdeni wako/au ni ndugu yako maybe?
Hujanijibu kama nilivokuulizaKumcha Mungu ni hekima na ukweli, kujiepusha na uovu ni maarifa.
Ng'ombe anapoelekezwa kibra huwa hajui kama anachinjwa hadi kisu kianze kupenya, pole sana😂😂Zilipoanza simu na mitandao, huko kwenye makanisa yao wakaviita ni mpinga kristo. Sasa hivi wana accounts za mobile money kwa ajili ya kupokelea sadaka na kila miongoni mwa hayo 'makanisa' yao yana social media accounts.
Wamesha sahau habari za mpinga Kristo.
Mtafute kiranga mtaelewana vizuriHujanijibu kama nilivokuuliza
Huyo Kiranga wako ndio anaweza kunipa maarifa nkamjua huyo Mungu wako.Mtafute jamaa anaitwa kiranga mtaelewana zaidi.
Kondoo aliyeko zizini kwenye ufugaji wa ndani anayajua mazingira ya ndani ya zizi alimo.Ng'ombe anapoelekezwa kibra huwa hajui kama anachinjwa hadi kisu kianze kupenya, pole sana😂😂
Correctly!! na Yesu ndo mchungaji wa kondoo ambao mimi ni mmoja wao.Kondoo aliyeko zizini kwenye ufugaji wa ndani anayajua mazingira ya ndani ya zizi alimo.
Atamwambia nini Mchungaji mwenye uwezo wa kuona mazingira yote ndani na nje ya zizi??
Wewe ni kondoo
Najua hilo kuwa wewe ni kondoo hadi nkakuita hivyo,Correctly!! na Yesu ndo mchungaji wa kondoo ambao mimi ni mmoja wao.
discuss whyAI is Inevitable !!!
discuss why AI is Inevitable !!!
Exactly, na Yesu ni mchungaji wangu.Najua hilo kuwa wewe ni kondoo hadi nkakuita hivyo,
Na najua hujaelewa hata hiyo text yangu nimekupa.
Ndo maana hujajibu umeitikia ukondoo.
Hujaielewa kwasababu wewe ni kondoo
Ni Whatsapp boss Kuna free namba una save kwa contact zako halafu unaanza kuchat na Hilo dude.Hiyo App unaipata wapi mkuu? hawa watoto wa chuo wa kizazi hiki tutawadhibiti vipi maana AI ndo atakuwa anafanya assignment zote. Kwenye test na mitihani ndo kutakuwa na shughuli pevu maana simu na laptop haziruhusiwi kwenye chumba cha mtihani.
Haya mambo haya unaweza kujikuta unachat na jini.Ni Whatsapp boss Kuna free namba una save kwa contact zako halafu unaanza kuchat na Hilo dude.