monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM 4GB ROM 64GB je yenye storage kubwa ndo yenye uwezo wa kumeza mzigo mkubwa zaidi?
Wajuvi msaada tafadhali.
View attachment 1599824
Ahsante mkuuYaani ni kma simu sema ambayo una connect wenye TV. Unaacess apps kma kwenye simu, YouTube, unaweza hifadhi movies kwenye internal au SD card nk. Na baadhi zinasupport na games kma una gamepad
Ila tatizo linakuja ipi yenye uboraUnapotumia Android TV box, unaibadilisha TV yako kuwa kama smart TV. Smart TV ni Android TV.
Kwa hivyo ni kama vile unatumia li Simu likubwa la Android. Unaweza kuangalia youtube, facebook , email na mitandao yote kwa kutumia TV yako.
Mara nyingi android TV box ndio inakua bora kuliko inayokuja na TV. Zinakuja na TV zinakuaga slow, hazipata updates na hazinaga apps nyingi. SmartTV nzuri ni zile zinazokua na RokuTV ndani yake au androidTV na ni bei ghali ndio sio slowIla tatizo linakuja ipi yenye ubora
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM 4GB ROM 64GB je yenye storage kubwa ndo yenye uwezo wa kumeza mzigo mkubwa zaidi?
Wajuvi msaada tafadhali.
View attachment 1599824
MI tv stick ni jina geni kwangu nayo ni android tv box au na vp kuhusu ubora ukilinganisha na hizi za kichina?Mkuu Tv box zimetengenezwa kama streaming devices, unaweza play vitu offline ila hilo sio lengo.
Na ram na internal storage sio muhimu kivile kwenye TV box bali gpu ni muhimu zaidi, unahitaji Gpu iliyokuwa optimized kwenye tv yenye uwezo wa ku decode codecs karibia zote kuanzia X265 zote 8 na 10bit, vp9, vp8, x264 etc. Ikiwa na 4k ni bonus.
Kutegemea na mfuko wako Nvidia shield ndio tv box nzuri sokoni ila bei yake sawa na Xbox ni ghali.
Na kama Mfuko hauruhusu zipo hadi za chini ya laki kama mi tv stick.
Sema kuwa makini kuna tv box zenye Android na Android tv, hayo mabox ya kichina yenye maram na storage kubwa mengi ni Android ya kawaida tu, itakusumbua sana.
Ni ya Xiaomi, kwa Aliexpress around 70000 unaipata. Ina Android TV, storage 8gb na ram 1gb, mwisho inastream 1080p.MI tv stick ni jina geni kwangu nayo ni android tv box au na vp kuhusu ubora ukilinganisha na hizi za kichina?
Je inaweza kufanya kazi zaidi ya tv boxKama unaweza kuliko kununua tv box. Tafuta min Pc. Utaipata around lak 3 na kuendelea ni bora zaidi.
Poa mkuuNi ya Xiaomi, kwa Aliexpress around 70000 unaipata. Ina Android TV, storage 8gb na ram 1gb, mwisho inastream 1080p.
Yaan atumie Mini PC kwaajili ya ku stream vitu kwenye TV? Mini PC hizi ambazo haziwez play hata 720p na 1080p bila ku stutter?Kama unaweza kuliko kununua tv box. Tafuta min Pc. Utaipata around lak 3 na kuendelea ni bora zaidi.
Kama una hela ndio pc zinakuwa na nguvu na kui upgrade ni rahisi kuliko Tv box za Android. Hasa kama lengo lako ni kufanya vitu vingi offline kuliko online.Je inaweza kufanya kazi zaidi ya tv box
Nijuavyo swala la streaming linategemeana na network. Akichukua min pc ataenjoy zaidi game za windows ambazo ni bora zaidi.Yaan atumie Mini PC kwaajili ya ku stream vitu kwenye TV? Mini PC hizi ambazo haziwez play hata 720p na 1080p bila ku stutter?
Achukue androidTV tu. Mi TV stick inafaa na ni 90k tu. Kma anataka na kucheza games kuna Mi TV box ni 130k.
Windows mkuu kama ujuavyo ni zaidi ya android tafuta. Min pc ni bora zaidi. Ukuwa unafaidi vingi zaidi. Maana karibu vyote vipatikanyo kwenye android utavipata kwenye windows. Lakini vya windows ni vigumu kupata kwenye android. Hata ukiihitaji sana android unaweza kuinistall pia android kwenye min pc yako, wakati wa kuboot unachagua tu uingie windows au android.Je inaweza kufanya kazi zaidi ya tv box
Mini PC zinazingua, zina processor za zaman na zinazingua kuplay video za high resolution. Unafaham kua Intel Atom zilizopo kwenye mini PC zina uwezo mdogo sana yaani. Video ya 1080p tu inaitoa jasho. Huwezi hata cheza game yoyote ya maana mule kma utakazo weza kucheza kwenye Mi TV box ambayo ni bei chee kuliko mini PCUnapokuja kwenye swala la performance mkuu computer haina mpinzani. (Pc)
Me naendelea kumshauri achukue min pc. Atakuwa kaua ndege wawili kwa jiwe moja. Akipata na wireless mouse mambo yanakuwa rahisi kabisa.
Weee jamaa nani kakudanganya kuwa min pc zote zina hiyo Atom.Mini PC zinazingua, zina processor za zaman na zinazingua kuplay video za high resolution. Unafaham kua Intel Atom zilizopo kwenye mini PC zina uwezo mdogo sana yaani. Video ya 1080p tu inaitoa jasho. Huwezi hata cheza game yoyote ya maana mule kma utakazo weza kucheza kwenye Mi TV box ambayo ni bei chee kuliko mini PC