monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM 4GB ROM 64GB je yenye storage kubwa ndo yenye uwezo wa kumeza mzigo mkubwa zaidi?

Wajuvi msaada tafadhali.