Matumizi ya android tv box

Matumizi ya android tv box

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM 4GB ROM 64GB je yenye storage kubwa ndo yenye uwezo wa kumeza mzigo mkubwa zaidi?

Wajuvi msaada tafadhali.​

Screenshot_20201014-131207.png
 
Subiri wanakuja wataalamu zaidi wanakutumia
mm naelewa Ila sijawai tumia tv box na ninampango wa kununua hv karibuni
 
Yaani ni kma simu sema ambayo una connect wenye TV. Unaacess apps kma kwenye simu, YouTube, unaweza hifadhi movies kwenye internal au SD card nk. Na baadhi zinasupport na games kma una gamepad
 
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM 4GB ROM 64GB je yenye storage kubwa ndo yenye uwezo wa kumeza mzigo mkubwa zaidi?

Wajuvi msaada tafadhali.​

View attachment 1599824

Unapotumia Android TV box, unaibadilisha TV yako kuwa kama smart TV. Smart TV ni Android TV.

Kwa hivyo ni kama vile unatumia li Simu likubwa la Android. Unaweza kuangalia youtube, facebook , email na mitandao yote kwa kutumia TV yako.
 
Ahsante mkuu
 
Ila tatizo linakuja ipi yenye ubora
 
Hichi kifaa kinatumia wifi
Kina playstore
Hvyo utaweza download apps kama kwenye simu
Kina uwezo wa 4K
Kina remote. Na pia waweza pachika mouse ya computer.
Kuunganisha na tv utatumia HDMI cable.
IMG_5936.jpg

Sisi tunakiuza sh . 95,000 na tunafanya free delivery kwa Dar es salaam
7AAB19E1-F51B-4ADD-8225-ACBD6FBC2CB2-14305-000009A7BAFB23F3.jpg

Nicheki 0755655516
 
Ila tatizo linakuja ipi yenye ubora
Mara nyingi android TV box ndio inakua bora kuliko inayokuja na TV. Zinakuja na TV zinakuaga slow, hazipata updates na hazinaga apps nyingi. SmartTV nzuri ni zile zinazokua na RokuTV ndani yake au androidTV na ni bei ghali ndio sio slow
 
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM 4GB ROM 64GB je yenye storage kubwa ndo yenye uwezo wa kumeza mzigo mkubwa zaidi?

Wajuvi msaada tafadhali.​

View attachment 1599824

Mkuu Tv box zimetengenezwa kama streaming devices, unaweza play vitu offline ila hilo sio lengo.

Na ram na internal storage sio muhimu kivile kwenye TV box bali gpu ni muhimu zaidi, unahitaji Gpu iliyokuwa optimized kwenye tv yenye uwezo wa ku decode codecs karibia zote kuanzia X265 zote 8 na 10bit, vp9, vp8, x264 etc. Ikiwa na 4k ni bonus.

Kutegemea na mfuko wako Nvidia shield ndio tv box nzuri sokoni ila bei yake sawa na Xbox ni ghali.

Na kama Mfuko hauruhusu zipo hadi za chini ya laki kama mi tv stick.

Sema kuwa makini kuna tv box zenye Android na Android tv, hayo mabox ya kichina yenye maram na storage kubwa mengi ni Android ya kawaida tu, itakusumbua sana.
 
MI tv stick ni jina geni kwangu nayo ni android tv box au na vp kuhusu ubora ukilinganisha na hizi za kichina?
 
Kama unaweza kuliko kununua tv box. Tafuta min Pc. Utaipata around lak 3 na kuendelea ni bora zaidi.
 
Ni ya Xiaomi, kwa Aliexpress around 70000 unaipata. Ina Android TV, storage 8gb na ram 1gb, mwisho inastream 1080p.
 
Kama unaweza kuliko kununua tv box. Tafuta min Pc. Utaipata around lak 3 na kuendelea ni bora zaidi.
Yaan atumie Mini PC kwaajili ya ku stream vitu kwenye TV? Mini PC hizi ambazo haziwez play hata 720p na 1080p bila ku stutter?

Achukue androidTV tu. Mi TV stick inafaa na ni 90k tu. Kma anataka na kucheza games kuna Mi TV box ni 130k.
 
Nijuavyo swala la streaming linategemeana na network. Akichukua min pc ataenjoy zaidi game za windows ambazo ni bora zaidi.
Unapokuja kwenye swala la performance mkuu computer haina mpinzani. (Pc)
Me naendelea kumshauri achukue min pc. Atakuwa kaua ndege wawili kwa jiwe moja. Akipata na wireless mouse mambo yanakuwa rahisi kabisa.
 
Je inaweza kufanya kazi zaidi ya tv box
Windows mkuu kama ujuavyo ni zaidi ya android tafuta. Min pc ni bora zaidi. Ukuwa unafaidi vingi zaidi. Maana karibu vyote vipatikanyo kwenye android utavipata kwenye windows. Lakini vya windows ni vigumu kupata kwenye android. Hata ukiihitaji sana android unaweza kuinistall pia android kwenye min pc yako, wakati wa kuboot unachagua tu uingie windows au android.
 
Unapokuja kwenye swala la performance mkuu computer haina mpinzani. (Pc)
Me naendelea kumshauri achukue min pc. Atakuwa kaua ndege wawili kwa jiwe moja. Akipata na wireless mouse mambo yanakuwa rahisi kabisa.
Mini PC zinazingua, zina processor za zaman na zinazingua kuplay video za high resolution. Unafaham kua Intel Atom zilizopo kwenye mini PC zina uwezo mdogo sana yaani. Video ya 1080p tu inaitoa jasho. Huwezi hata cheza game yoyote ya maana mule kma utakazo weza kucheza kwenye Mi TV box ambayo ni bei chee kuliko mini PC
 
Weee jamaa nani kakudanganya kuwa min pc zote zina hiyo Atom.

Min pc kibao zina intel kiuanzia core 2duo hadi i7.
Yaani laptop ziweze kuwa na processor kubwa then min pc ishindwe kweli???
 
Back
Top Bottom