Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

ki ukweli chumvi inasaidia sana ukiwa na shida ukija kwangu nitakushauri ukielewa nitakupa chumvi na maelekezo nini cha kufanya (chumvi iliyo barikiwa na padri) ninayo ofisini na nyumbani 24/7
Chiwa,

Nime ku PM . . , nasubiri majibu yako . .
 
Duh! Hii itakuwa kati ya zile zile zetu wabongo. Nakumbuka nikiwa chalii, tulikuwa tunaambiwa ukikutana na kinyonga unajitemea mate kiaina mwili mzima ili kuzuia asichukue rangi yako. Sikumbuki kama ilikuwa inafanya kazi.
Na kinyonga akikudondokea kichwani mpaka umtafute shangazi ndo amtoe!
 
Mshana Jr. Sijaelewa maana ya neno manuizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…