Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Duh! Hii itakuwa kati ya zile zile zetu wabongo. Nakumbuka nikiwa chalii, tulikuwa tunaambiwa ukikutana na kinyonga unajitemea mate kiaina mwili mzima ili kuzuia asichukue rangi yako. Sikumbuki kama ilikuwa inafanya kazi.
Au ukinyooshea kidole makaburi kinakatika
 
Kwakuongezea kuna sehemu ukienda kununua chumvi dukani usiku ukisema naomba Chumvi hawakuuzii mpaka useme naomba Dawa ya jiko au Mkubwa wa jiko sijui sababu yake ni nini?

Guys hii kitu nimekutana na jamaa from WestAfrica anasemani the same hata kwao usiku ukitaka chumvi au sindano madukan hupewi [emoji3][emoji3]
 
Halafu pia huwezi kunuia kwa kuichoma chumvi halafu itende mema
Chumvi kwa kweli inamiujiza mingi sana , hasa chumvi ya mawe. Mfano kwangu mimi nilikuwa na eneo langu nauza kwa muda mrefu madalali walichemsha , nikaamua kununua chumvi ya mawe na kuimwaga katika pembe 4 za eneo na katikati ( eneo lenyewe lipo uswahilini) next day akatokea mnunuzi na kulinunua .
 
tulishawahi kuua bar fulani hivi yan ilikuwa mashoga wanakutana hapo
Mhhh bar gan aiseee?,sababu hapa Arusha kulikuwa na club moja ilivuma sana 2014 ilikuwa ya shoga na ndio ilikuwa makutano yako,ilikuja kuzorota ghafla jamaa wakaiachia ila kila aliekuja kufungua biashara hamna,huwa naamini wale walisababisha pale pakalaaniwa
 
Chumvi kwa kweli inamiujiza mingi sana , hasa chumvi ya mawe. Mfano kwangu mimi nilikuwa na eneo langu nauza kwa muda mrefu madalali walichemsha , nikaamua kununua chumvi ya mawe na kuimwaga katika pembe 4 za eneo na katikati ( eneo lenyewe lipo uswahilini) next day akatokea mnunuzi na kulinunua .
Maajabu ya Chunvi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom