Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Nlikuwa naishi na binti wakazi hatari nkirudi nakuta matone ya damu Mara Mtoto kanyolewa Mara milango inafunguka usiku na kujifunga sikumuhisi chochote mpaka nilipochoma chumvi na kudekia ndani aisee siku ya pili asubuhi akaniaga kuondoka nilimbbeleza Sana akasema bibi yake kakataa kabisa yy kuishi na Mimi nilipomrudisha kwao mama ake akasema bibi yake anaroho mbaya anamuharibu mwanae kivipi hakusema. Chumvi ni noma
Samahani naomba ufafanue kidogo namna ya kuitumia chumvi
 
Aisee hii issue ni kweli kabisa Yani kama kuna boya anakuzinguazingua tu usiku ww nunua chumvi au magadi then choma au weka chini ya mto aiseee utakuta kesho anakukimbia akikuonaa au anakwambia nisameheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mshana unaitwa huku
 
Nipo live [emoji13] [emoji3] [emoji779] [emoji781]
 
Ina matokeo mazuri kutokana na imani yako kwenye manuizi
Wengi wamefanikisha na kukwamuka hasa kwenye kuuza nyumba viwanja nk....hata katika mahusiano pia na ndoa zinazolegalega
Mafuta ya mzeituni hung'arisha
Chumvi huleta ladha....
Kwahiyo manuizi yako lazima yalenge huko
Mkuu haya mafuta ya mzaotuni nayapatawapi? Je yanauzwa kama mafuta mengine au utaratibu wakuyapata ukoje
 
Back
Top Bottom