Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sio biashara tu but in every walk of life... Ukitumia kwa usahihi matokeo yanashangaza sanaTupe chache tu mshana .kwenye biashara unawezaje kutumia kuvutia wateja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio biashara tu but in every walk of life... Ukitumia kwa usahihi matokeo yanashangaza sanaTupe chache tu mshana .kwenye biashara unawezaje kutumia kuvutia wateja
Kufukuza na kumlinda dhidi ya nguvu hasi zoteKwa mtoto inasaidia nn
[emoji120]Amina kubwa....
KRISTO YESU alifundisha kwenye kitabu cha Mathayo 5:13 akisema, ninyi ni chumvi ya dunia.[emoji120]
Hata hii kila anayefungua nawaangalia tu cz ndio njia yangu ya home, akifungua mtu hapo hamalizi miez miwili anakuwa kafunga,Mhhh bar gan aiseee?,sababu hapa Arusha kulikuwa na club moja ilivuma sana 2014 ilikuwa ya shoga na ndio ilikuwa makutano yako,ilikuja kuzorota ghafla jamaa wakaiachia ila kila aliekuja kufungua biashara hamna,huwa naamini wale walisababisha pale pakalaaniwa
Heri ya sikukuu dada.... Unapotea mno huku wakati unaelewa uwepo wako unahitajika mnoHata hii kila anayefungua nawaangalia tu cz ndio njia yangu ya home, akifungua mtu hapo hamalizi miez miwili anakuwa kafunga,
Sikuomba siku moja nilikuwa napita namwaga kidogo tu, hapo nahakikisha home nimeombea kwa mistari ya kutosha na damu ya Yesu ya kutosha na nimejiwekea ulinzi kabla sijaenda cz sio kila kona unavamia.
Mfano wa Nguvu Hasi Ni Kama???Kufukuza na kumlinda dhidi ya nguvu hasi zote
Nguvu zenye kuharibu na kufishaMfano wa Nguvu Hasi Ni Kama???
Lakini hii sea salt hawa majini wengi wao wanaishi kwenye sea inakuaje chumvi usiwaletee noma humo humo majini
Hawaishi majini bali makao yao ni chini ya bahari... Vile vile tofautisha wachawi na majiniLakini hii sea salt hawa majini wengi wao wanaishi kwenye sea inakuaje chumvi usiwaletee noma humo humo majini
Lakini mkuu wachawi si wanawatumia majini kufanikisha adhma zao au?Hawaishi majini bali makao yao ni chini ya bahari... Vile vile tofautisha wachawi na majini
Jr[emoji769]
Hapana kwa sehemu kubwa ni viumbe roho wengine na ukiona kamtumia jini tambua huyo ni jini mchafuLakini mkuu wachawi si wanawatumia majini kufanikisha adhma zao au?
Chumvi pekee ama lazma uchanganye na olive oil?Usicheze na chumvi inaondowa mikosi, chumvi unaweza kumfukuza mtu asiweze kuja tena nyumbani kwako chumvi inaleta baraka kwenye nyumba au sehemu ya biashara chumvi ina siri kubwa sana mambo mengine siwezi kusema lakini chumvi iwe ni chumvi ya mawe sio chumvi ya unga.
View attachment 449309
HIV nuksi inakuwa ndani ya mwilii au njeee.mana kila cku tunatumia hii kitu.chumviii
Sent using Jamii Forums mobile app