miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
sawa mtaniKama ilivyo mtani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mtaniKama ilivyo mtani
Je ni kweli kuwa hakuna MUNGU katika inchi hata watu wakaondoe mikosi kwa Chumvi?Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
Mkuu mshana ukitumia chumvi au mafuta ya olive haina kikomo?namaanisha unatumia once au unatumia mara kwa mara...ili yaweze kufanya ulichokusudia?..Kama ilivyo mtani
Ni kweli kabisa
Mara nyingi ni wiki mojaMkuu mshana ukitumia chumvi au mafuta ya olive haina kikomo?namaanisha unatumia once au unatumia mara kwa mara...ili yaweze kufanya ulichokusudia?..
Alafu katika hilo inakua sio uchawi?
Ukizidisha matumizi zaidi ya wiki Madhara yake ni nini?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] au nyota itang'aa sana?Mara nyingi ni wiki moja
[emoji106] poaSio uchawi bwan
Nzuri zaidi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukizidisha matumizi zaidi ya wiki Madhara yake ni nini?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] au nyota itang'aa sana?
Changanya kiasi kisha fanya maombi na manuizi kwa yale utakayo na pia paka kwenye paji la USO kifuani na viganjaniKumbe na maligafi ndani mafuta me natumia kwa massage tu chumvi napendaga kuweka kwenye makande sasa mnielekeze matumizi mapya![]()
Namelisikia hili pia mkuu,ila mimi niliambiwa chumvi inayofaa Ni ile ya mawe.
do! nimekubali mshana amewashika mbaya! big up men!naweka na mshumaa.. okey.. hiyo kwenye chupa ni mafuta a nini?
we mi nayaite hayo madude sijitaki tunachangamsha tu hapado! nimekubali mshana amewashika mbaya! big up men!
Hahahahaha Dah...ugumu wa maisha unaleta yote haya , mpk tunahisi tuna nuksi wkt Faru jonh ndo ka kaza uzi
ki ukweli chumvi inasaidia sana ukiwa na shida ukija kwangu nitakushauri ukielewa nitakupa chumvi na maelekezo nini cha kufanya (chumvi iliyo barikiwa na padri) ninayo ofisini na nyumbani 24/7we mi nayaite hayo madude sijitaki tunachangamsha tu hapa
Endelea kuyaamini haya utaishia kuuwa albino, mtoto wako hata wazazi wako! Shari yako, puuzia kabisa huu ushenzi na uzuzu..Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.