Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
Je ni kweli kuwa hakuna MUNGU katika inchi hata watu wakaondoe mikosi kwa Chumvi?
 
Wewe MKOSI WAKO NI UVIVU
Haya katafte kazi ufanye ukamate mshiko hlf uona ka utajiita una mkosi
Huo ni UVIVU tu nakinachokulemaza saaana ni kulala mno
Kuendekeza saaana starehe kuliko kazi
Kwa dunia ya sasa kila mtu utamuona mchawi kwako
Kwasbb vya miteremko kwa sasa havipo
Kadri mambo yatavozidi kua magumu huko mbele unaweza ukafkiria kua WINO WA KALAMU NI DAWA YA KUSAFISHA NYOTA
 
Kumbe na maligafi ndani mafuta me natumia kwa massage tu chumvi napendaga kuweka kwenye makande sasa mnielekeze matumizi mapya
e456bf7d850ff0266e5d85c99a73d2c4.jpg
 
mshana jr sijui yuko wapiii ? alafu wateja wake wanazagaa zagaa huku tuu. oooooyooo hii sio ofisi ya mshana jr mfuateni physically kwake . daaaah
 
MAAJABU YA CHUMVI

. weka kikaango jikoni
. Tia mafuta ya kupikia vijiko 3
. weka kitunguu saum kijiko 1
. Vunja mayai 8 ya kuku wa kienyeji
. weka CHUMVI kidogo sana kwenye mayai na ukoroge
. kisha miminia mayai hayo kwenye kikaango cha mafuta ya moto
. subiri yai likauke na uligeuze
. Yai lako litakuwa tayari kulipwa
Hapo utayaona maajabu ya chumvi
 
Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
Endelea kuyaamini haya utaishia kuuwa albino, mtoto wako hata wazazi wako! Shari yako, puuzia kabisa huu ushenzi na uzuzu..
 
Back
Top Bottom