Ook!
Yaani hii inabana kote kuwili [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ook!
Umewai banwa na mkojo ukajaribu kuuzuia??? Sasa Ukiwa haujabanwa mkojo, jaribu kufanya kama unaubana mkojo kwa dakika tano alafu unaachia. Unafanya hivyo mara nyingi kadri uwezavyo... Utakuja zoea tu
Alafu ukiwa unakojoa usiuachie mkojo kama umefungua bomba ya maji "chwaaaaaaaaaa". Unautoa kidogo kidogo kwa awamu "Chrii, chrii, chrii".
(ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema)
Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi
Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo linalotokana na kulegea kwa misuli ya uke, hali hii husababisha Uke kulegea au wanaita Kutepeta(unanipata bibieee!!!!!)
Mara nyingi wanaume waliooa wake au kuwa na wapenzi ambao wana matatizo ya uke uliolegea au kutepeta hua mara nyingi inatokea wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi na hao wake zao au wapenzi wao au hata mwanaume kushindwa kumudu vyema tendo hilo kwa maana ya kutokuweza kurudia bao la pili ikiwa atajitahidi kumaliza kushusha bao la kwanza na kujikuta mzuka wooooooooote umekwisha
SABABU ZA UKE KULEGEA AU KUTEPWETA
Baadhi ya sababu zinazopelekea misuli ya uke kulegea na kusababisha mwanamke kua na uke uliolegea au kutepeta nazo ni hizi zifuatazo;
(a) Magonjwa ya uke
(b) Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
(c) Kujifungua
(d) Usagaji
DAWA YA UKE ULIOLEGEA AU KUTEPWETA
Chukua kokwa za embe za kutosha zianike juani mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini
MATUMIZI
Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku
Fanya zoezi hilo kila siku mpaka bibi awe mnatoooo
ZINGATIA
Uke utaanza kubana siku ya tatu tu mara baada ya kuanza kutumia dawa.
Ukipenda SHARE wengine pia wapate faida hii
Hayo mazoezi yapoje mkuuKuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.
Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.
Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!
Hahahaaa mkuu umeniua mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafika chumbani kwa msichana unakutana na harufu ya pilau..Unaliandaa tumbo lako vizuri kulifanyia suprise..Unashangaa mezani unaletewa dona..Usipoelewa hizi vitu unaweza kuhisi dada wa watu mchoyo kakunyima pilau..Kumbe papuchi ndo imeungwa
Nilitaka niulize naona umeniwai.Mmmh kuna watu wa ajabu bana.
Mtakaotumia hio njia msisahau kuleta mrejesho wa kuoza naniliii. Maana mnaenda fanya mauaji ya bakteria wa ulinzi
Hahahahaaaaaaa . Mkuu umeuaAfadhal baña umeleta solution, maani hizi nyuchi za namna hii huwa zinatia uvivu kabisa yaani
Umenifurahisha kupita kiasi mamababy ngoja nikasage ya miezi miwili nipate bikra
karibu tenaUmenifurahisha kupita kiasi mama
bana na kuachia papu yako uzuri wa hili zoezi unaweza fanya hata ofisini huku unahudumia mteja wako na hawezi kujua..Hayo mazoezi yapoje mkuu
Sasa wakati wa kuchepuka. Mara unapata kale kagonywa pendwa, sijui uzee utaulia wapi ...mkeo ataondoka na utamu wake natania bwana endelea tu kuchepuka....Ndo maana sisi middle age tulio oa tunachepuka ili tusiwachakaze wake zetu wakalegea matundu yao,ili tutakapofika uzeeni tuendeleee sasa kula raha mnato kwa wake zetu, sio umeoa ujanani kila siku tundu hilo hilo ujana wako na utu uzima wako, kisha umri ukishasonga mwanaume ndo unaanza kukamatia michepuko kwamaana waifu kashalegea hovyo, wakati uzee ni wakati wa kupumzika na wife mnato.
bahati mbayaSasa wakati wa kuchepuka. Mara unapata kale kagonywa pendwa, sijui uzee utaulia wapi ...mkeo ataondoka na utamu wake natania bwana endelea tu kuchepuka....
Hahahahaha ....Afadhal baña umeleta solution, maani hizi nyuchi za namna hii huwa zinatia uvivu kabisa yaani
Ajali kazinibahati mbaya
Kwanza wanawake wote wamelegea cku hizi maana wanaanza kutumika mapema zaidi.Kuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.
Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.
Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!