Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

Ook!
Umewai banwa na mkojo ukajaribu kuuzuia??? Sasa Ukiwa haujabanwa mkojo, jaribu kufanya kama unaubana mkojo kwa dakika tano alafu unaachia. Unafanya hivyo mara nyingi kadri uwezavyo... Utakuja zoea tu

Alafu ukiwa unakojoa usiuachie mkojo kama umefungua bomba ya maji "chwaaaaaaaaaa". Unautoa kidogo kidogo kwa awamu "Chrii, chrii, chrii".
 
Yaani hii inabana kote kuwili [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
images%2B%25285%2529.jpg

(ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema)

Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi

Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo linalotokana na kulegea kwa misuli ya uke, hali hii husababisha Uke kulegea au wanaita Kutepeta(unanipata bibieee!!!!!)

Mara nyingi wanaume waliooa wake au kuwa na wapenzi ambao wana matatizo ya uke uliolegea au kutepeta hua mara nyingi inatokea wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi na hao wake zao au wapenzi wao au hata mwanaume kushindwa kumudu vyema tendo hilo kwa maana ya kutokuweza kurudia bao la pili ikiwa atajitahidi kumaliza kushusha bao la kwanza na kujikuta mzuka wooooooooote umekwisha

SABABU ZA UKE KULEGEA AU KUTEPWETA

Baadhi ya sababu zinazopelekea misuli ya uke kulegea na kusababisha mwanamke kua na uke uliolegea au kutepeta nazo ni hizi zifuatazo;

(a) Magonjwa ya uke

(b) Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara

(c) Kujifungua

(d) Usagaji

DAWA YA UKE ULIOLEGEA AU KUTEPWETA

Chukua kokwa za embe za kutosha zianike juani mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini

MATUMIZI

Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku

Fanya zoezi hilo kila siku mpaka bibi awe mnatoooo

ZINGATIA

Uke utaanza kubana siku ya tatu tu mara baada ya kuanza kutumia dawa.

Ukipenda SHARE wengine pia wapate faida hii

Mkuu kwani ww una UKE?
 
Kuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.

Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.

Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!
Hayo mazoezi yapoje mkuu
 
Unafika chumbani kwa msichana unakutana na harufu ya pilau..Unaliandaa tumbo lako vizuri kulifanyia suprise..Unashangaa mezani unaletewa dona..Usipoelewa hizi vitu unaweza kuhisi dada wa watu mchoyo kakunyima pilau..Kumbe papuchi ndo imeungwa
Hahahaaa mkuu umeniua mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uyu atakuwa kagundua dawa ya kansa anataka wateja waongezeke apige pesa
 
Ndo maana sisi middle age tulio oa tunachepuka ili tusiwachakaze wake zetu wakalegea matundu yao,ili tutakapofika uzeeni tuendeleee sasa kula raha mnato kwa wake zetu, sio umeoa ujanani kila siku tundu hilo hilo ujana wako na utu uzima wako, kisha umri ukishasonga mwanaume ndo unaanza kukamatia michepuko kwamaana waifu kashalegea hovyo, wakati uzee ni wakati wa kupumzika na wife mnato.
Sasa wakati wa kuchepuka. Mara unapata kale kagonywa pendwa, sijui uzee utaulia wapi ...mkeo ataondoka na utamu wake natania bwana endelea tu kuchepuka....
 
Kuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.

Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.

Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!
Kwanza wanawake wote wamelegea cku hizi maana wanaanza kutumika mapema zaidi.

Mtoto wa kike anaanza kupigwa mashine kwanzia miaka 10 hadi 9 sasa mpaka muda wa kuolewa unafika unakuta ana wanaume zaidi ya 150 wameshaingiza vikojoleo vyao..

Sasa akianza kutumia dawa ili kubane cjui kunabanaje wakati kunatumika kupita kiasi.

Nafikiri kuna umuhimu wa serikali kubuni starehe zingine na kuhakikisha wananchi wanapewa elimu ili matumizi ya sambusa za akina Dada yapungue.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji128]
 
wale wazama chumvini Nadhani hamna haja ya kula maembe tena sasa ukinyonya huko hamu ya maembe inakuwa imeisha kabisa, kweli Dunia Iko Pabaya sana MUNGU tusaisie
 
Back
Top Bottom