Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Ook!
Umewai banwa na mkojo ukajaribu kuuzuia??? Sasa Ukiwa haujabanwa mkojo, jaribu kufanya kama unaubana mkojo kwa dakika tano alafu unaachia. Unafanya hivyo mara nyingi kadri uwezavyo... Utakuja zoea tu
Alafu ukiwa unakojoa usiuachie mkojo kama umefungua bomba ya maji "chwaaaaaaaaaa". Unautoa kidogo kidogo kwa awamu "Chrii, chrii, chrii".