Matumizi ya kungu


sema na nafc yako usisemee wenzio.tuache kuwaza ngono hlf tufanye nn.km huwazi ni ww
 
Hapana chezea mkukumanga matawi yake kivuli tosha...
Banjua taratibuu kula hadi cha ndani kile daaaaa

Balaa lake ni maduduwasha au kubanjua kidole daaa hadi utamu utapotea.
Nadhani amepata majibu ya kungu za mapenz from HMS
 
Last edited by a moderator:
Reactions: HMS
sema na nafc yako usisemee wenzio.tuache kuwaza ngono hlf tufanye nn.km huwazi ni ww

ndo watanzania hatuna maendeleo, badala kuwaza maisha jinsi ya kujijenga we unawaza ngono, endelea kuwaza ngono halafu iweke kwenye practice ili uje upewe zawadi ya kua wakwanza kufanya ngono nchini, lkn tambua upo kwenye hasara duniani na ahera, hapa duniani unajihatarishia magonjwa, unamaliza hela badala kufanya vitu vya maana we ni ngono tu, hlf mbinguni adhabu kali inakungoja, endelea mr na ngono, teh teh teh, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…