- Thread starter
- #41
Kuna kungu aina mbili. kuna kungu tunda linalo chumwa mtini, hili ni la kawaida tunda km matunda mengine. hlf kuna kungu ile wanayotumia wadada hasa wa pwani km tanga, zanzibar hata bara pia watumiaji wameongezeka, hii sio tunda bali ni madini inayopikwa wenyewe wanajua zaidi na inakua kama kashata yenye kung'ara, hii ukila ndo inaregeza macho, inachosha mwili na kumfanya mwanamke aonekane ni mwenye hisia nyingi, na wanatumia ili kumvutia mwanaume, hamna kazi ingine zaidi ya hiyo, km vile mwanamke akivaa shanga kiunoni wala haina faida yyte kwake illa ni kwa lengo la kumvutia mwanaume.
lkn hii yote ni kwa wale wenye mawazo ya kingono ngono ndo itamvutia, wale wa kuangalia sn muvy za ngono hlf anataka amjaribie mkewe au demu wake wakati wale wanafanya mazoezi mtu kabinuliwa unataka kumbinua mpenzi wako utamvunja kiuno. tuacheni mawazo ya ngono, mwanaume asie na mawazo hayo wala hawwezi kushawishika na shanga wala hizo kungu, au sijui bikini, akah, bibi zetu hawakuvaa hizo bikini lkn mbona babu zetu walikua wakivutiwa sn na wanawake wao?
wanaume wote, tuacheni mawazo ya ngono na tufatilie yale yaliokua muhimu kwenye maisha yetu. ni hayo tu
sema na nafc yako usisemee wenzio.tuache kuwaza ngono hlf tufanye nn.km huwazi ni ww