Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mwanzo hakuyajua haya ?Ni wazo zuri kukienzi Kiswahili. Hakuna haja ya kushobokea lugha za watu ndani ya nchi yetu. Huo ni ulimbukeni usio kifano.
Hata kama hakuyajua haijalishi.Mwanzo hakuyajua haya ?
Miaka ya nyuma kidogo wakati wa Kugombea ubunge wa Africa Mashariki ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mh Mwakyembe alitoa hoja kwa Spika Anna Makinda kwamba wagombea watumie lugha ya kiingereza kuomba kura ili kupima uwezo wao wa lugha wasije wakaifedhehesha nchi kwenye mijadala ya bunge la africa Mashariki , Spika Makinda akakubali mwongozo wa Mwakyembe hatimaye wagombea wakaanza kuomba kura kwa lugha ya kiingereza , huku Le Mutuz Super brand mmoja wa wagombea wa ccm akiangukia pua .
Hapa ndipo ulipoibuka msemo maarufu wa " IAM SORRY , IAM GLAD " msemo uliotokana na mmoja wagombea kuomba kujitoa kwenye kinyang'anyiro , lakini miaka michache tu siku ya leo Mwakyembe huyohuyo safari hii akiwa waziri wa michezo anawataka washiriki wa Miss Tanzania kutumia kiswahili kujibu maswali akidai ni lugha inayotumika dunia nzima !
Je ameusahau mwongozo wake wa Bungeni ?View attachment 860879
Kwetu Tandika Mwembeyanga kuna msemo maarufu kwamba UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU .
Naomba kuwasilisha .
Nasikia mtambuka ni jitu zima, lakini it seems ni hopeless kichwani! It will be a breaking day if i happen to see him!Mwanzo hakuyajua haya ?
Wazo la kijinga kabisa, enzi hizo kiingereza ilikuwa muhimu, lakini siku hizi siyo lazima japo muhimu. Hii inatokana na Marais wa nchi 5 za Afrika Mashariki na maziwa makuu kutoa saini za kukubaliana kutumia Kiswahili kama lugha ya mikutano. Wewe bado unaturudisha enzi hizo?! Shame on youMiaka ya nyuma kidogo wakati wa Kugombea ubunge wa Africa Mashariki ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mh Mwakyembe alitoa hoja kwa Spika Anna Makinda kwamba wagombea watumie lugha ya kiingereza kuomba kura ili kupima uwezo wao wa lugha wasije wakaifedhehesha nchi kwenye mijadala ya bunge la africa Mashariki , Spika Makinda akakubali mwongozo wa Mwakyembe hatimaye wagombea wakaanza kuomba kura kwa lugha ya kiingereza , huku Le Mutuz Super brand mmoja wa wagombea wa ccm akiangukia pua .
Hapa ndipo ulipoibuka msemo maarufu wa " IAM SORRY , IAM GLAD " msemo uliotokana na mmoja wagombea kuomba kujitoa kwenye kinyang'anyiro , lakini miaka michache tu siku ya leo Mwakyembe huyohuyo safari hii akiwa waziri wa michezo anawataka washiriki wa Miss Tanzania kutumia kiswahili kujibu maswali akidai ni lugha inayotumika dunia nzima !
Je ameusahau mwongozo wake wa Bungeni ?View attachment 860879
Kwetu Tandika Mwembeyanga kuna msemo maarufu kwamba UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU .
Naomba kuwasilisha .
Huyo mtu tangu alipo pona ugonjwa ule bado akili haija mrudia vemaMiaka ya nyuma kidogo wakati wa Kugombea ubunge wa Africa Mashariki ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mh Mwakyembe alitoa hoja kwa Spika Anna Makinda kwamba wagombea watumie lugha ya kiingereza kuomba kura ili kupima uwezo wao wa lugha wasije wakaifedhehesha nchi kwenye mijadala ya bunge la africa Mashariki , Spika Makinda akakubali mwongozo wa Mwakyembe hatimaye wagombea wakaanza kuomba kura kwa lugha ya kiingereza , huku Le Mutuz Super brand mmoja wa wagombea wa ccm akiangukia pua .
Hapa ndipo ulipoibuka msemo maarufu wa " IAM SORRY , IAM GLAD " msemo uliotokana na mmoja wagombea kuomba kujitoa kwenye kinyang'anyiro , lakini miaka michache tu siku ya leo Mwakyembe huyohuyo safari hii akiwa waziri wa michezo anawataka washiriki wa Miss Tanzania kutumia kiswahili kujibu maswali akidai ni lugha inayotumika dunia nzima !
Je ameusahau mwongozo wake wa Bungeni ?View attachment 860879
Kwetu Tandika Mwembeyanga kuna msemo maarufu kwamba UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU .
Naomba kuwasilisha .
Kwakuwa hamjui kiingerezaNi wazo zuri kukienzi Kiswahili. Hakuna haja ya kushobokea lugha za watu ndani ya nchi yetu. Huo ni ulimbukeni usio kifano.
Fent fordHata kama hakuyajua haijalishi.
Sujui Mwakyembe alishindaje Ubunge Kyela! Hakika sijui 'mazingaombwe' gani yalitumika kumtangaza mshindi.. Kama anavyochukiwa kwao ndivyo nami ninavyomchukia
Kiingereza bado ni muhimu sana hasa kwa karne hii tuliyo nayo maana hata kuomba misaada kutoka kwa wazungu inabidi tutumie kiingereza ndio tunamuona poropesa kalamaganda karudi kila siku yupo nje ya nchiWazo la kijinga kabisa, enzi hizo kiingereza ilikuwa muhimu, lakini siku hizi siyo lazima japo muhimu. Hii inatokana na Marais wa nchi 5 za Afrika Mashariki na maziwa makuu kutoa saini za kukubaliana kutumia Kiswahili kama lugha ya mikutano. Wewe bado unaturudisha enzi hizo?! Shame on you