Matumizi ya Lugha ya Kiswahili: Hatimaye Mwakyembe ala matapishi yake

Matumizi ya Lugha ya Kiswahili: Hatimaye Mwakyembe ala matapishi yake

Let it be. Elimu kubwa dunia hii iko kwa lugha ya kiingereza. Popote utakapoishi ndani ya dunia hii ukiongea kiingereza utaeleweka ama ni rahisi kupata msaada wowote uutakao. Kiswahili ni lugha ya kufanyia ushirikina tu.
Duh, kumbe una mawazo ya kitumwa namna hii? Sasa naanza kukuelewa.
 
Tena sio muhimu tu, bali ni lazima. Ukitaka kuijua dunia hii vyema ifahamu vizuri lugha ya kiingereza. Ukijua kiingereza unaweza kuishi popote hapa duniani na mambo yako ya kasonga. Kiswahili ni lugha ya kusengenyea tu.
Umesema kweli kabisa hao wanao tetea kiswahili ni kujitetea tu
 
Yes, sure! pumbavu halijui hata idioms!
Wewe kibwengo hata makosa yako huyaoni. Eti idioms, what kind of idioms? It will be a day break and not a breaking day. There is nothing like a breaking day in English.
 
Unajua sana kwa kuandika it will be a breaking day.
Hata huyo hakupenda kuwa hivyo
IMG-20171121-WA0014.jpg
 
Unaweza sana! Idioms have no

Nimeunda ya kwangu, inaruhusiwa......Because idioms don't always make sense literally, you'll need to familiarize yourself with the meaning and usage of each idiom.
Ndio matatizo ya kuparamia lugha za watu haya, utachekwa.
 
Si jambo baya kusahihisha ulipokosea jana, na hivyo ndivyotunatakiwa tuwe! Unachokiamini leo ni sahihi kesho ukiona hakiko sahihi sio dhambi kubadili msimamo wako wa jana
 
Back
Top Bottom