Matumizi ya Lugha ya Kiswahili: Hatimaye Mwakyembe ala matapishi yake

Mkuu acha tu, elimu yetu inaharibika halafu wanaoiharibu wanapeleka watoto shule za kiingereza. Ukiwasikia mishipa imewatoka shingoni eti tunamuenzi baba wa taifa kwani alikienzi kiswahili. Kwani huyo Nyerere alisoma shule iliyofundisha kwa kiswahili?

Ukweli uko hivi, unaweza kukutana na watu wengi sana wanaoongea kiswahili hapa nchini, lakini watu wengi wa maana utakaokutana nao ni wale wanaojua kiingereza
Kabisa mkuu !
 
cc: retired
Exactly, nimefundisha for some time in the past. Mtoto aliyekuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri au kujaribu kuongea kiingereza for that matter, huyo huyo utamkuta anaongoza kwenye chemistry, biology maths etc! hao hao ndio watu wa maana kwenye society. mimi hanidanganyi mtu, kiswahili peleka kule, tupa kule! Ndio sasa hivi tunaunda maneno ya sayansi, bila kutumia principles of etymology... the science of the origin of the word. Mtu anaibuka anatunga neno alivyopendezwa ... mfano eti umeme (electric current) tuuite "Nyerere" ili kumuenzi! Loh, salalel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani kiukweli kabisa lugha ya Kiingereza ni muhimu kwa mawasiliano na wafadhili wetu, lakini ni watanzania wangapi wanajua kukiongea kiingereza fasaha! Angalia hata huko maofisini kiingereza kinavyoandikwa kwenye "minutes"! Ukiingia kwenye mijadala inayoendeshwa kwa kiingereza mtu anaweza kuamua kukaa kimya japo ana point, kwa sababu ya matatizo ya lugha. Ni afadhali turudi tu kwenye lugha yetu ya Kiswahili ambayo tuna uwezo hata wa kuongea kwa kubishana
 
Sasa hiyo tutakuwa tunakimbia tatizo, tutilie mkazo kwenye Kiingereza kwa hivi hivi mfumo wetu wa elimu ulivyo .Tujikite kwenye midahalo pamoja na klabu za masomo kwenye shule zetu za Msingi na Sekondari.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Exactly, nimefundisha for some time in the past. Mtoto aliyekuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri au kujaribu kuongea kiingereza for that matter, huyo huyo utamkuta anaongoza kwenye chemistry, biology maths etc! hao hao ndio watu wa maana kwenye society. mimi hanidanganyi mtu, kiswahili peleka kule, tupa kule! Ndio sasa hivi tunaunda maneno ya sayansi, bila kutumia principles of etymology... the science of the origin of the word. Mtu anaibuka anatunga neno alivyopendezwa ... mfano eti umeme (electric current) tuuite "Nyerere" ili kumuenzi! Loh, salalel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu acha kabisa. Wakati naingia form one nimetoka shule za kiswahili, watoto wa kiasia na wabantu waliotoka shule za kizungu cha kunyooka walikuwa wanatukimbiza ile mbaya, nimekuja kuzinduka form 2 term ya pili. Mpaka namaliza form four kiingereza mgogoro and and na the the nyingi, kuunga sentesi ni utata mtupu. Form five kwenda chuoni ndio ikawa ahueni. Ila niliapa mtoto wangu na shule za kiswahili ni mwiko. Watoto wangu wote hawasomi shule za kuenzi kiswahili maana najua nikuwageuza waje kuwa watumwa wa watoto wa kina Tulia Akson, Mwigulu Nchemba nk
 
Exactly, nimefundisha for some time in the past. Mtoto aliyekuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri au kujaribu kuongea kiingereza for that matter, huyo huyo utamkuta anaongoza kwenye chemistry, biology maths etc! hao hao ndio watu wa maana kwenye society. mimi hanidanganyi mtu, kiswahili peleka kule, tupa kule! Ndio sasa hivi tunaunda maneno ya sayansi, bila kutumia principles of etymology... the science of the origin of the word. Mtu anaibuka anatunga neno alivyopendezwa ... mfano eti umeme (electric current) tuuite "Nyerere" ili kumuenzi! Loh, salalel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimecheka sana ! eti umeme uitwe Nyerere ! Dah! Password - Nywila ! hivi hawa nani kawapa uwezo wa kutuongopea aiseee ?
 
Mkuu acha kabisa. Wakati naingia form one nimetoka shule za kiswahili, watoto wa kiasia na wabantu waliotoka shule za kizungu za kunyooka walikuwa wanatukimbiza ile mbaya, nimekuja kuzinduka form term ya pili. Mpaka namaliza form four kiingereza mgogoro and and na the the nyingi, kuunga sentesi ni utata mtupu. Form five kwenda chuoni ndio ikawa ahueni. Ila niliapa mtoto wangu na shule za kiswahili ni mwiko. Watoto wangu wote hawasomi shule za kuenzi kiswahili maana najua nikuwageuza waje kuwa watumwa wa watoto wa kina Tulia Akson, Mwigulu Nchemba nk
Aiseee !!
 
Sasa hiyo tutakuwa tunakimbia tatizo, tutilie mkazo kwenye Kiingereza kwa hivi hivi mfumo wetu wa elimu ulivyo .Tujikite kwenye midahalo pamoja na klabu za masomo kwenye shule zetu za Msingi na Sekondari.

Achana na huyo jamaa. kiingereza kinawezekana. Mbona Rwanda hapo walihana toka kifaransa kwenda kiingereza na wanasonga tu? ni kweli mwanzo tutajivuta, lakini ndani ya miaka 10 kitakuwa kimeeleweka.
 
kama alidhubutu kuikana thesis yake iliyompa Phd, unategemea maneno ya jukwaani atayakubali
 
Hata kama hakuyajua haijalishi.
Inajalisha Sana ... Tafsiri yake kiongozi Kama huyu haeleweki Mara hivi Mara vile Hana msimamo anayumbayumba hajaamini, pia Hana uhakika na analo amua ...

Kiongozi Kama huyu hakawii kutuingiza Chaka ... Mfano Mimi Sasa kaisha nipoteza kwamba je kingreza kinaongeza uwezo wa kujua uwezo wa kiongozi kama ilivyokua kataika kugombea ubunge wa E.A. au hakifai tutumie lugha yetu ya kiswahili ...

Mpaka Sasa Mimi na familia yangu hatujui tufuate lipi ... Sasa je unajua ni familia ngapi zimepotezwa?
 
Kiswahili kinachozungumzwa na wasanii walio wengi si fasaha (nakulaga, naogaga, ujage, apo, uku, ela, alafu, atakiwi, uruma, ongera nk) kwenye kiingereza hatupo na kwenye kiswahili hatupo

Ni kweli kuwa hata hicho kiswahili hatukiwezi . Kinatupa shida pia kwenye lafudhi (mfano: 'la' badala ya 'ra' nk)
 
Inajalisha Sana ... Tafsiri yake kiongozi Kama huyu haeleweki Mara hivi Mara vile Hana msimamo anayumbayumba hajaamini, pia Hana uhakika na analo amua ...

Kiongozi Kama huyu hakawii kutuingiza Chaka ... Mfano Mimi Sasa kaisha nipoteza kwamba je kingreza kinaongeza uwezo wa kujua uwezo wa kiongozi kama ilivyokua kataika kugombea ubunge wa E.A. au hakifai tutumie lugha yetu ya kiswahili ...

Mpaka Sasa Mimi na familia yangu hatujui tufuate lipi ... Sasa je unajua ni familia ngapi zimepotezwa?
Haijalishi. Kiswahili ndio mpango mzima.
 
Kiswahili kinachozungumzwa na wasanii walio wengi si fasaha (nakulaga, naogaga, ujage, apo, uku, ela, alafu, atakiwi, uruma, ongera nk) kwenye kiingereza hatupo na kwenye kiswahili hatupo
Umesahau HOVYO inayotumiwa na wanasiasa na wana JF. Sahihi in Ovyo
 
Hawa ndio kamati ya ufundi ndani ya ccm, huenda muongozo uliombwa ili watu fulani waangukie pua kama ulivyosema. Chezea siasa wewe.
 
Back
Top Bottom