Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Duh, kumbe una mawazo ya kitumwa namna hii? Sasa naanza kukuelewa.Let it be. Elimu kubwa dunia hii iko kwa lugha ya kiingereza. Popote utakapoishi ndani ya dunia hii ukiongea kiingereza utaeleweka ama ni rahisi kupata msaada wowote uutakao. Kiswahili ni lugha ya kufanyia ushirikina tu.
Umesema kweli kabisa hao wanao tetea kiswahili ni kujitetea tuTena sio muhimu tu, bali ni lazima. Ukitaka kuijua dunia hii vyema ifahamu vizuri lugha ya kiingereza. Ukijua kiingereza unaweza kuishi popote hapa duniani na mambo yako ya kasonga. Kiswahili ni lugha ya kusengenyea tu.
Wewe kibwengo hata makosa yako huyaoni. Eti idioms, what kind of idioms? It will be a day break and not a breaking day. There is nothing like a breaking day in English.Yes, sure! pumbavu halijui hata idioms!
Hata huyo hakupenda kuwa hivyoUnajua sana kwa kuandika it will be a breaking day.
Basi wewe ndiyo una tatizome cjaona tatizo hapo [emoji45]
Ongeza mapicha. Moja haitoshi.Hata huyo hakupenda kuwa hivyoView attachment 861159
Ipo, these are idioms! Kibwengo mama yako malaya!Wewe kibwengo hata makosa yako huyaoni. Eti idioms, what kind of idioms? It will be a day break and not a breaking day. There is nothing like a breaking day in English.
Ipo wapi? Huwezi kujitungia idioms tu hivi hivi.Ipo, these are idioms!
Basi wewe ndiyo una tatizo
Wewe ni kichaanaona unajaribu kutumia nguvu sana kunipinga mkuu nadhan haupo sawa kiakili
Haya nenda lumumba chumba no 3 kachukue buku 7Wewe kibwengo hata makosa yako huyaoni. Eti idioms, what kind of idioms? It will be a day break and not a breaking day. There is nothing like a breaking day in English.
Unaweza sana! Idioms have noIpo wapi? Huwezi kujitungia idioms tu hivi hivi.
Nimeunda ya kwangu, inaruhusiwa......Because idioms don't always make sense literally, you'll need to familiarize yourself with the meaning and usage of each idiom.Ipo wapi? Huwezi kujitungia idioms tu hivi hivi.
Wewe ni kichaa
Ndio matatizo ya kuparamia lugha za watu haya, utachekwa.Unaweza sana! Idioms have no
Nimeunda ya kwangu, inaruhusiwa......Because idioms don't always make sense literally, you'll need to familiarize yourself with the meaning and usage of each idiom.
Naenda kwa Mashinji pale ufipa kupata mkwanja wa kujaza bando.Haya nenda lumumba chumba no 3 kachukue buku 7
Punguza kichaa chako nimekwambia nenda lumumba chumba no 3Naenda kwa Mashinji pale ufipa kupata mkwanja wa kujaza bando.
Naenda kwa Mashinji katibu wangu mkuu pale ufipa nikachukue mkwanja wa kujazia bando. Huko Lumumba ni wapi?Punguza kichaa chako nimekwambia nenda lumumba chumba no 3
Kwa chakubangaNaenda kwa Mashinji katibu wangu mkuu pale ufipa nikachukue mkwanja wa kujazia bando. Huko Lumumba ni wapi?