Duh, kumbe una mawazo ya kitumwa namna hii? Sasa naanza kukuelewa.
Cc Magonjwa Mtambuka for your informationNasikia mtambuka ni jitu zima, lakini it seems ni hopeless kichwani! It will be a breaking day if i happen to see him!
Insha ndefu haitasaidia.Nakuambia ukweli, ww jivike uzalendo wa kinafiki huku hao viongozi wanaokulisha uzalendo uchwara wanaona fahari wao na familia zao kujua kiingereza. Kama nakuongopea nenda angalia mawaziri, makatibu wakuu na wote wenye mshahara wa zaidi ya 1.5m kama kuna yoyote mwenye mtoto wa chini ya primary school ambaye anampeleka mtoto wake shule inayofundisha kwa kiswahili. Na kama unaona kiswahili ni lugha ya maana msikilize rais wa nchi akihutubua anavyochanganya na maneno ya kiswahili.
Tukitaka nchi yetu ipige hatua kubwa kwenye elimu ni lazima kiingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia chekechea. Mwanafunzi akijua kiingereza ataweza kusoma vitabu vingi sana, atafuatilia taarifa nyingi kwenye mitandao kwa lugha ya kiingereza nk. Jaribu kuangalia wale waliosoma enzi za middle school kiwango cha uelewa walichokuwa nacho, fananisha na hawa waliosoma kwa kiswahili toka chekechea. Ukiona mtu anasifia kiswahili ujue anaficha udhaifu wake kwenye kiingereza, lakini ukweli wa elimu yetu kuwa duni umechangiwa na kutumia kiswahili toka chekechea kwa kiwango kikubwa. Narudia tena, kiswahili tukitumie huko bungeni kuungia juhudi za rais na huku mtaani, sio kwenye elimu.
Kwa Mashinji. Mbona unataka kujifanya huelewi?Kwa chakubanga
Hivi Mwakyembe naye anakuhangaisha na mazingaombwe yake. Yuko tayari hata kumkana baba yake sababu ya tumbo.Miaka ya nyuma kidogo wakati wa Kugombea ubunge wa Africa Mashariki ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mh Mwakyembe alitoa hoja kwa Spika Anna Makinda kwamba wagombea watumie lugha ya kiingereza kuomba kura ili kupima uwezo wao wa lugha wasije wakaifedhehesha nchi kwenye mijadala ya bunge la africa Mashariki , Spika Makinda akakubali mwongozo wa Mwakyembe hatimaye wagombea wakaanza kuomba kura kwa lugha ya kiingereza , huku Le Mutuz Super brand mmoja wa wagombea wa ccm akiangukia pua .
Hapa ndipo ulipoibuka msemo maarufu wa " IAM SORRY , IAM GLAD " msemo uliotokana na mmoja wagombea kuomba kujitoa kwenye kinyang'anyiro , lakini miaka michache tu siku ya leo Mwakyembe huyohuyo safari hii akiwa waziri wa michezo anawataka washiriki wa Miss Tanzania kutumia kiswahili kujibu maswali akidai ni lugha inayotumika dunia nzima !
Je ameusahau mwongozo wake wa Bungeni ?View attachment 860879
Kwetu Tandika Mwembeyanga kuna msemo maarufu kwamba UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU .
Naomba kuwasilisha .
Kuna kile kiswahili cha kwenye message pia cha kwenye Facebook ambacho hutumiwa na vibinti na vijana wadogo wadogo tupo =2po, kwetu = kwe2 , foleni =4leni nk ni wakati Bunge watunge sheria kali za kukilinda kiswahili ikibidi ipigwe marufuku kukibomoa kiswahili kwa makusudiKiswahili kinachozungumzwa na wasanii walio wengi si fasaha (nakulaga, naogaga, ujage, apo, uku, ela, alafu, atakiwi, uruma, ongera nk) kwenye kiingereza hatupo na kwenye kiswahili hatupo
Tofauti iko wapi? Sema Mwakyembe anajua haya mapoyoyo wa kitanzania hayajawahi wala hayatashinda miss world, mwisho wao ni miss Tanzania kwa hiyo hakuna haja ya kuwachosha na Kiingereza ambayo hata viongozi wengi wa kitaifa inawapiga chenga. Mwakyembe siyo mjinga. Kwanini umchoshe mtu kwa kitu kisichomsaidia?Tafautisha miaka hiyo na sasa, mambo yameadilika. Endeleb kuwa mtumwa wa lugha za watu
Mkuu nilikutana na dada wa kijerumani anachukua shahada ya uzamili anaongea Kiingereza Safi, ikabidi nimuulize umekijuaje .Alinijibu wanaanza kufundishwa kwenye elimu yao ya msingi.Nilishtuka kusikia Taifa kubwa kama lile Ulaya wanafundishana hiyo lugha.Sisi tukazane kwenye elimu ya vitendo kuanzia msingi.Nakuambia ukweli, ww jivike uzalendo wa kinafiki huku hao viongozi wanaokulisha uzalendo uchwara wanaona fahari wao na familia zao kujua kiingereza. Kama nakuongopea nenda angalia mawaziri, makatibu wakuu na wote wenye mshahara wa zaidi ya 1.5m kama kuna yoyote mwenye mtoto wa chini ya primary school ambaye anampeleka mtoto wake shule inayofundisha kwa kiswahili. Na kama unaona kiswahili ni lugha ya maana msikilize rais wa nchi akihutubua anavyochanganya na maneno ya kiingereza.
Tukitaka nchi yetu ipige hatua kubwa kwenye elimu ni lazima kiingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia chekechea. Mwanafunzi akijua kiingereza ataweza kusoma vitabu vingi sana, atafuatilia taarifa nyingi kwenye mitandao kwa lugha ya kiingereza nk. Jaribu kuangalia wale waliosoma enzi za middle school kiwango cha uelewa walichokuwa nacho, fananisha na hawa waliosoma kwa kiswahili toka chekechea. Ukiona mtu anasifia kiswahili ujue anaficha udhaifu wake kwenye kiingereza, lakini ukweli wa elimu yetu kuwa duni umechangiwa na kutumia kiswahili toka chekechea kwa kiwango kikubwa. Narudia tena, kiswahili tukitumie huko bungeni kuungia juhudi za rais na huku mtaani, sio kwenye elimu.
Hata kiswahiri hakifai ni bora tutumie KiswahiliMaana hakuna namna Kama Mtu anaanza kufundishwa English darasa la 3 mpaka anapata phd hawezi hata Kujieleza au Kujichanganya na Wazungu "Bora tuenderee na Kiswahiri tu" Maana hakuna namna.
Alitumia vyombo vya dola. Watu waliumizwa sana. Kwa kweli hapendwi hata kidogo huko KyelaSujui Mwakyembe alishindaje Ubunge Kyela! Hakika sijui 'mazingaombwe' gani yalitumika kumtangaza mshindi.. Kama anavyochukiwa kwao ndivyo nami ninavyomchukia
Mkuu nilikutana na dada wa kijerumani anachukua shahada ya uzamili anaongea Kiingereza Safi, ikabidi nimuulize umekijuaje .Alinijibu wanaanza kufundishwa kwenye elimu yao ya msingi.Nilishtuka kusikia Taifa kubwa kama lile Ulaya wanafundishana hiyo lugha.Sisi tukazane kwenye elimu ya vitendo kuanzia msingi.
Nimekusoma[emoji23]Maana hakuna namna Kama Mtu anaanza kufundishwa English darasa la 3 mpaka anapata phd hawezi hata Kujieleza au Kujichanganya na Wazungu "Bora tuenderee na Kiswahiri tu" Maana hakuna namna.
asipoelewa hapa basi achana naye .Unaweza sana! Idioms have no
Nimeunda ya kwangu, inaruhusiwa......Because idioms don't always make sense literally, you'll need to familiarize yourself with the meaning and usage of each idiom.
asante, mimi nilichukulia kitu kama breaking news... as defined here in this context: Breaking news, interchangeably termed late-breaking news and also known as a special report or special coverage or news bulletin, is a current issue that broadcasters feel warrants the interruption of scheduled programming and/or current news in order to report its details. tindoasipoelewa hapa basi achana naye .
Baada ya kusoma hili andiko lako nimejikuta nabubujikwa machozi !Mkuu acha tu, unakuta mtu hajui kiingereza anajifanya anakienzi kiswahili eti ni uzalendo. Lakini akisikia mtoto wake anaongea kiingereza anacheka kwa furaha mpaka jino la 32. Ingia maktaba yoyote zaidi ya 70% ya vitabu ni vya kiingereza na haviguswi kabisa! Kila mwenye uwezo anapeleka mtoto wake shule inayofundisha kwa kiingereza, kiswahili kimebaki kufundishwa kwenye shule zinazokuja kutoa manamba, wauza mahindi ya kuchemsha na wauza karanga vituo vya mabasi.
Mkuu nitakupa mfano wa hili ninalokuambia kisha upime na uone uhalisia. Hawa ndugu zetu wahindi unakuta mtoto kazaliwa hapa nchini, lakini nyumbani wanaongea kihindi, shule piga ua lazima asome ya kiingereza, akipita huko mtaani ndio anatumia kiswahili. Lakini unakuta kiingereza kinamfanya aijue dunia vyema, kihindi anatumia na wazazi na nduguze. Kiswahili anakitumia kutuma wafanyakazi wa nyumbani na kwenye biashara zao. Angalia pia watoto wote waliosoma shule za kiingereza toka chekechea jinsi wanavyoweza kwenda kiurahisi kwenye dunia ya kisasa. Ni wachache wako mtaani na hata wakiharibika ni kwa kutumia unga sio hayo mataputapu ya bei chee. Je umewahi kumuona kijana yoyote aliyesoma kwa kiingereza toka chekechea anauza mayai ya kuchemsha au kuchoma mahindi?
Kuna kile kiswahili cha kwenye message pia cha kwenye Facebook ambacho hutumiwa na vibinti na vijana wadogo wadogo tupo =2po, kwetu = kwe2 , foleni =4leni nk ni wakati Bunge watunge sheria kali za kukilinda kiswahili ikibidi ipigwe marufuku kukibomoa kiswahili kwa makusudi
Tindo, nimependa andiko lako. haya huyo mwakyembe mtoto wake hayupo shule ya kiswahili Kayumba, NEVER, anawadanganya mazuzuz "wadanganyika" yanaangukia huko kama majitu ya lumumba!. Kama vile ulikuwa Tanga wakati wa kampeni za udiwani Tangasisi. Kuna diwani mmoja (nisimtaje) alisema, nyinyi wadigo wenzangu, mnashabikia ccm angalia watoto wenu, ndio wako stend mpya ya Kange wanauza karanga, maji ya ubuyu, kahawa, juice, soda etc. Nambie wadigo madaktari , engineers, pilots, nurses, technicians, university teachers and other careers of this type ni wangapi kutoka katika watoto wetu , . Kila mmoja alitokwa na machozi!Mkuu acha tu, unakuta mtu hajui kiingereza anajifanya anakienzi kiswahili eti ni uzalendo. Lakini akisikia mtoto wake anaongea kiingereza anacheka kwa furaha mpaka jino la 32. Ingia maktaba yoyote zaidi ya 70% ya vitabu ni vya kiingereza na haviguswi kabisa! Kila mwenye uwezo anapeleka mtoto wake shule inayofundisha kwa kiingereza, kiswahili kimebaki kufundishwa kwenye shule zinazokuja kutoa manamba, wauza mahindi ya kuchemsha na wauza karanga vituo vya mabasi.
Mkuu nitakupa mfano wa hili ninalokuambia kisha upime na uone uhalisia. Hawa ndugu zetu wahindi unakuta mtoto kazaliwa hapa nchini, lakini nyumbani wanaongea kihindi, shule piga ua lazima asome ya kiingereza, akipita huko mtaani ndio anatumia kiswahili. Lakini unakuta kiingereza kinamfanya aijue dunia vyema, kihindi anatumia na wazazi na nduguze. Kiswahili anakitumia kutuma wafanyakazi wa nyumbani na kwenye biashara zao. Angalia pia watoto wote waliosoma shule za kiingereza toka chekechea jinsi wanavyoweza kwenda kiurahisi kwenye dunia ya kisasa. Ni wachache wako mtaani na hata wakiharibika ni kwa kutumia unga sio hayo mataputapu ya bei chee. Je umewahi kumuona kijana yoyote aliyesoma kwa kiingereza toka chekechea anauza mayai ya kuchemsha au kuchoma mahindi?
Baada ya kusoma hili andiko lako nimejikuta nabubujikwa machozi !