Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #81
Kabisa mkuu !Mkuu acha tu, elimu yetu inaharibika halafu wanaoiharibu wanapeleka watoto shule za kiingereza. Ukiwasikia mishipa imewatoka shingoni eti tunamuenzi baba wa taifa kwani alikienzi kiswahili. Kwani huyo Nyerere alisoma shule iliyofundisha kwa kiswahili?
Ukweli uko hivi, unaweza kukutana na watu wengi sana wanaoongea kiswahili hapa nchini, lakini watu wengi wa maana utakaokutana nao ni wale wanaojua kiingereza
Natumai Mh. Jiwe atakuerewa..Hata kiswahiri hakifai ni bora tutumie Kiswahili
Exactly, nimefundisha for some time in the past. Mtoto aliyekuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri au kujaribu kuongea kiingereza for that matter, huyo huyo utamkuta anaongoza kwenye chemistry, biology maths etc! hao hao ndio watu wa maana kwenye society. mimi hanidanganyi mtu, kiswahili peleka kule, tupa kule! Ndio sasa hivi tunaunda maneno ya sayansi, bila kutumia principles of etymology... the science of the origin of the word. Mtu anaibuka anatunga neno alivyopendezwa ... mfano eti umeme (electric current) tuuite "Nyerere" ili kumuenzi! Loh, salalel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mkuu acha tu, elimu yetu inaharibika halafu wanaoiharibu wanapeleka watoto shule za kiingereza. Ukiwasikia mishipa imewatoka shingoni eti tunamuenzi baba wa taifa kwani alikienzi kiswahili. Kwani huyo Nyerere alisoma shule iliyofundisha kwa kiswahili?
Ukweli uko hivi, unaweza kukutana na watu wengi sana wanaoongea kiswahili hapa nchini, lakini watu wengi wa maana utakaokutana nao ni wale wanaojua kiingereza
cc: retired
Sasa hiyo tutakuwa tunakimbia tatizo, tutilie mkazo kwenye Kiingereza kwa hivi hivi mfumo wetu wa elimu ulivyo .Tujikite kwenye midahalo pamoja na klabu za masomo kwenye shule zetu za Msingi na Sekondari.Jamani kiukweli kabisa lugha ya Kiingereza ni muhimu kwa mawasiliano na wafadhili wetu, lakini ni watanzania wangapi wanajua kukiongea kiingereza fasaha! Angalia hata huko maofisini kiingereza kinavyoandikwa kwenye "minutes"! Ukiingia kwenye mijadala inayoendeshwa kwa kiingereza mtu anaweza kuamua kukaa kimya japo ana point, kwa sababu ya matatizo ya lugha. Ni afadhali turudi tu kwenye lugha yetu ya Kiswahili ambayo tuna uwezo hata wa kuongea kwa kubishana
Ni wazo zuri kukienzi Kiswahili. Hakuna haja ya kushobokea lugha za watu ndani ya nchi yetu. Huo ni ulimbukeni usio kifano.
Exactly, nimefundisha for some time in the past. Mtoto aliyekuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri au kujaribu kuongea kiingereza for that matter, huyo huyo utamkuta anaongoza kwenye chemistry, biology maths etc! hao hao ndio watu wa maana kwenye society. mimi hanidanganyi mtu, kiswahili peleka kule, tupa kule! Ndio sasa hivi tunaunda maneno ya sayansi, bila kutumia principles of etymology... the science of the origin of the word. Mtu anaibuka anatunga neno alivyopendezwa ... mfano eti umeme (electric current) tuuite "Nyerere" ili kumuenzi! Loh, salalel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimecheka sana ! eti umeme uitwe Nyerere ! Dah! Password - Nywila ! hivi hawa nani kawapa uwezo wa kutuongopea aiseee ?Exactly, nimefundisha for some time in the past. Mtoto aliyekuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri au kujaribu kuongea kiingereza for that matter, huyo huyo utamkuta anaongoza kwenye chemistry, biology maths etc! hao hao ndio watu wa maana kwenye society. mimi hanidanganyi mtu, kiswahili peleka kule, tupa kule! Ndio sasa hivi tunaunda maneno ya sayansi, bila kutumia principles of etymology... the science of the origin of the word. Mtu anaibuka anatunga neno alivyopendezwa ... mfano eti umeme (electric current) tuuite "Nyerere" ili kumuenzi! Loh, salalel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aiseee !!Mkuu acha kabisa. Wakati naingia form one nimetoka shule za kiswahili, watoto wa kiasia na wabantu waliotoka shule za kizungu za kunyooka walikuwa wanatukimbiza ile mbaya, nimekuja kuzinduka form term ya pili. Mpaka namaliza form four kiingereza mgogoro and and na the the nyingi, kuunga sentesi ni utata mtupu. Form five kwenda chuoni ndio ikawa ahueni. Ila niliapa mtoto wangu na shule za kiswahili ni mwiko. Watoto wangu wote hawasomi shule za kuenzi kiswahili maana najua nikuwageuza waje kuwa watumwa wa watoto wa kina Tulia Akson, Mwigulu Nchemba nk
Sasa hiyo tutakuwa tunakimbia tatizo, tutilie mkazo kwenye Kiingereza kwa hivi hivi mfumo wetu wa elimu ulivyo .Tujikite kwenye midahalo pamoja na klabu za masomo kwenye shule zetu za Msingi na Sekondari.
Inajalisha Sana ... Tafsiri yake kiongozi Kama huyu haeleweki Mara hivi Mara vile Hana msimamo anayumbayumba hajaamini, pia Hana uhakika na analo amua ...Hata kama hakuyajua haijalishi.
Kiswahili kinachozungumzwa na wasanii walio wengi si fasaha (nakulaga, naogaga, ujage, apo, uku, ela, alafu, atakiwi, uruma, ongera nk) kwenye kiingereza hatupo na kwenye kiswahili hatupo
Haijalishi. Kiswahili ndio mpango mzima.Inajalisha Sana ... Tafsiri yake kiongozi Kama huyu haeleweki Mara hivi Mara vile Hana msimamo anayumbayumba hajaamini, pia Hana uhakika na analo amua ...
Kiongozi Kama huyu hakawii kutuingiza Chaka ... Mfano Mimi Sasa kaisha nipoteza kwamba je kingreza kinaongeza uwezo wa kujua uwezo wa kiongozi kama ilivyokua kataika kugombea ubunge wa E.A. au hakifai tutumie lugha yetu ya kiswahili ...
Mpaka Sasa Mimi na familia yangu hatujui tufuate lipi ... Sasa je unajua ni familia ngapi zimepotezwa?
Umesahau HOVYO inayotumiwa na wanasiasa na wana JF. Sahihi in OvyoKiswahili kinachozungumzwa na wasanii walio wengi si fasaha (nakulaga, naogaga, ujage, apo, uku, ela, alafu, atakiwi, uruma, ongera nk) kwenye kiingereza hatupo na kwenye kiswahili hatupo