Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mafuta tu linauwa watu sana yaani ni balaaa!!!!!Alteza ni Jini hilo linanyonya mafuta balaa
Litre 1 km 11- 12
Litre 1 km 11- 12
Sio alteza hiyo .
Hiyo altezza inayoweza kukufikisha moro kwa lita 13 itakuwa ya kichina
Linauwa watu kivipi?