Matumizi ya mafuta kwenye Altezza

Matumizi ya mafuta kwenye Altezza

Naomba nipite maana alteza ya kukufikisha moro kwa lts 13 naona vits utafika kwa lita 4

Tatizo watu hamjui kuwa hizi gari kama vitz zinakula sana mafta kwenye safari ndefu kuliko gari zenye cc kubwa.
Mimi nina altezza gita 6cylinder inakula kidogo ukiwa kwenye high way mfano dar to moro nakubariana na mdao inakula approximately 13-15 km/litre.
Majanga yake ni ukiwa town na hizi foleni. Halafu uzuri wake ina gauge ya kukuonyesha kwa speed na mafta uliyokanyaga utatembea km ngapi kwa lita moja.
Ila haitaki ubishoo maana altezza inafunguka vibaya mno.
 
Wazee wa altezza uzi wenu huu naona now days watu wanaziuza sana, sijui wamegundua nini
 
Experience yangu Dar-Moshi kwa Toyota isis 4cylinder 1794cc vvt-i ilikula 35litres ndani full a/c!
 
Wote nyie ni madunya mimi nimetumia alteza huu mwaka wa 3 sasa....inakula km 100 kwa lita....dar arusha lita 8 tu
Kuwa serious kwenye Mambo ambyo ni serious...
Toyo yenyewe haiwezi kutoka Dar to Arusha kwa mafuta Lita 8
 
Back
Top Bottom