Matumizi ya mafuta kwenye Altezza

Matumizi ya mafuta kwenye Altezza

Dar tanga nimeendesha mwenyewe na nimejazia mabibo naingia tanga nikajazia kange ikaingia lts 38 nilikua 140 kwa 120 na sometime unayembea hadi 80 kwa jum za barabara
 
Huyo anaesema altezza lita 13 moro labda huwa anaendesha ya shemeji yake ikiwa tayari inamafuta tusimbishie wakati ni ya shemeji yake
 
Uzoefu wangu,
Dar Moro kwa Carina (cc1800) lita 16 na IST (cc1500) lita 12.
Kwa IST Dar Mbeya Lita 51.

Tafakari

Dar-arusha ist cc 1500 lita 38 tuu,haijalishi mwendo iwe 30 au 150 !
 
Dar tanga me Nishawah tembea kwa Lita 25 Cresta gx100 vvti Nishawah pia kwenda Na Noah kwa Lita 20 Nishawah kwenda tunduru Na carina ti km 884 kwa Lita 60 Na nikabakiwa nayo yakupigia misele
 
Kwa kifupi alteza yenye 4 cylinder 3s fe na six cylinder 1g kavu au vvti ulaji wake wa mafuta hauna tofauti sana kiufundi na kiutaalam block za injini za six ni ndogo ukilinganisha na block za four kwa hiyo unywaji wake wa mafuta unakuwa ni ule ule ila tofauti hii ina block sita hii ina nne so lita moja gari inatembea kwa km nane hadi tisa
 
Huu uandishi kwa vyovyote lazima ulikuwa bar !!
 
Premio new model Cc 1800 nilipiga nayo Dar mwanza na nikapima inakulaje wese
Dar-Moro 16ltrs
DAr-Dom 35ltrs
Dar-Singida 55ltrs
Dar-Mwanza 90ltrs
Tunakaribisha na wengine mliosafiri na magari binafsi kwenda sehemu mbali mbali mtupe Uzoefu wenu na swala la wese.
 
Back
Top Bottom