Altezza zenye injini ya 3S-FE (four cylinders) hutumia wastani wa lita moja kwa kila kilomita 9 au 10 kwa mizunguko ya mjini (stop and go) lakini kama ukikwama kwenye foleni na kuacha injini ikinguruma basi unaweza kwenda chini ya kilomita 9 kwa lita kutegemea na ubaya wa foleni (unaweza kumaliza lita moja bila kwenda kokote). Kwenye safari ndefu katika barabara nzuri Altezza zenye 3S-FE huenda kati ya kilomita 13 na 15 kwa kila lita moja kutegemea na uendeshaji. Lita 13 zinatosha kukutoa Dar mpaka Moro (umbali wa kilomita 190).
you mean morogoro road sioNasisitiza tena. Altezza four cylinder inakwenda Moro kwa lita 13 za petroli.
Nakubaliana na mdau hizo lita 13 zinakufikisha moro bila shida.Mm nilitumia 15 ltrs Dar mpaka moro.Ila Alteza kimjini mjini ni majanga makubwa sana haifai.Ila kwenye high way ukiwa unatembea speed 100 mpaka 130 Hapo utaipenda inakula mdogo mdogo.
Altezza zenye injini ya 3S-FE (four cylinders) hutumia wastani wa lita moja kwa kila kilomita 9 au 10 kwa mizunguko ya mjini (stop and go) lakini kama ukikwama kwenye foleni na kuacha injini ikinguruma basi unaweza kwenda chini ya kilomita 9 kwa lita kutegemea na ubaya wa foleni (unaweza kumaliza lita moja bila kwenda kokote). Kwenye safari ndefu katika barabara nzuri Altezza zenye 3S-FE huenda kati ya kilomita 13 na 15 kwa kila lita moja kutegemea na uendeshaji. Lita 13 zinatosha kukutoa Dar mpaka Moro (umbali wa kilomita 190).
Alteza ni Jini hilo linanyonya mafuta balaa
Wote nyie ni madunya mimi nimetumia alteza huu mwaka wa 3 sasa....inakula km 100 kwa lita....dar arusha lita 8 tu
Nakubaliana na mdau hizo lita 13 zinakufikisha moro bila shida.Mm nilitumia 15 ltrs Dar mpaka moro.Ila Alteza kimjini mjini ni majanga makubwa sana haifai.Ila kwenye high way ukiwa unatembea speed 100 mpaka 130 Hapo utaipenda inakula mdogo mdogo.
Litre 1 km 11- 12