kitomondo1
Member
- Oct 2, 2014
- 99
- 17
Nasisitiza tena. Altezza four cylinder inakwenda Moro kwa lita 13 za petroli.
Hiyo altezza inayoweza kukufikisha moro kwa lita 13 itakuwa ya kichina
Huo uendeshwaji unakuwaje?
Unabisha unalo sasa?Hauwashi gari kabisa unabeba kwny crane
Uzoefu wangu,
Dar Moro kwa Carina (cc1800) lita 16 na IST (cc1500) lita 12.
Kwa IST Dar Mbeya Lita 51.
Tafakari
Wote nyie ni madunya mimi nimetumia alteza huu mwaka wa 3 sasa....inakula km 100 kwa lita....dar arusha lita 8 tu
mark x vipi? ulaji wa mafuta?Spreads,brevis ,verossa sio magari mazuri kwa watu wa hali ya chini
Watakuja wataalam,
Ila kibongobongo,hii inatagemea mambo mengi,kwanza foleni ya jiji yenyewe inakula mafuta,na pia uendeshaji wa mtu pia ni kigezo kingine.
Ila kitaalam zaidi watakuja wadau.
pia fikiria Toyota Corolla Runx very comfortable car and fuel economy Dar Arusha lita 45.Dar-arusha ist cc 1500 lita 38 tuu,haijalishi mwendo iwe 30 au 150 !
hiyo bado inakula inatakiwa 40-42ltspia fikiria Toyota Corolla Runx very comfortable car and fuel economy Dar Arusha lita 45.
Huo uendeshwaji unakuwaje?