Matumizi ya mitandao kama zana muhimu ya kuitoa CCM madarakani!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani.

CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania.

CCM inajitahidi kujenga taswira kuwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ni watu wachache tena wasio na mahusiano na maisha halisi ya watanzania mitaani.

Lakini kwa takwimu za mwaka 2024, Kuna zaidi ya watanzania milioni 21 wanaotumia internet. Idaidi hiyo ya watumiaji internet ni sawa na asilimia 31 ya watanzania wote wanaokadriwa kuwa milioni 67.

Kama mitandao ya kijamii ikitumiwa ipasavyo kupeleka taarifa sahihi juu ya hali halisi ya nchi yetu, basi siyo muda CCM itapata inachostahili, yaani kutoka madarakani.
 
wanafikiri wamitandaoni sio watanzania!

wakijastuka watakuwa wamechelewa!
 
Kati ya Watanzania milioni 21 wanaotumia mitandao, milioni 20.9 tunaiamini CCM. Hao waliobaki ambao sio Wana CCM kazi yao mitandaoni ni kutukana walimu, Polisi, wanasiasa wasiowataka, Waislamu, Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste, washabiki wa Simba na Yanga na Watanzania wote walio kinyume na wao. Huo uungwaji mkono wataupata kwa nani?
 
Hao waliobaki ambao sio Wana CCM kazi yao mitandaoni ni kutukana walimu, Polisi, wanasiasa wasiowataka, Waislamu, Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste, washabiki wa Simba na Yanga na Watanzania wote walio kinyume na wao. Huo uungwaji mkono wataupata kwa nani?
Hizi ndizo ngwala mnazojipiga. Mara mitandao haina nguvu, mara milioni 20 kati ya milioni 21 ya watumia mitandao ni wafuasi wenu.

Kama Mko wengi kiasi hicho ule mchecheto hadi mnafunga mitandao au Magufuli kutamani malaika waifunge mitandao hutokana na nini?
 
Lema aliposema anatamani Simba na Yanga zisiwepo Tanzania mchecheto wake ulitokana na nini?
 
Muktadha wa hoja yake uliuelewa? Haufanani hata kidogo na hoja ya Magufuli wakati ule.

Turudi kwenye mjadala. Kama mitandao ya kijamii watumiaji wengi ni CCM, Kwa nini CCM huwa wanaizuia (slow down) kufanya kazi wakati wa uchaguzi!?

Nakumbuka mwaka 2015 na mwaka 2020, Serikali ilizuia kutumia meseji nyingi kwa wakati mmoja (Bulk Messages) na ilikuwa meseji ikiandikwa "chagua Lissu" ilikuwa haiendi. Kama siyo hofu dhidi ya mitandao ya kijamii ni nini hasa!?
 
Hizi ndizo ngwala mnazojipiga. Mara mitandao haina nguvu, mara milioni 20 kati ya milioni 21 ya watumia mitandao ni wafuasi wenu.

Kama Mko wengi kiasi hicho ule mchecheto hadi mnafunga mitandao au Magufuli kutamani malaika waifunge mitandao hutokana na nini?
Unapoteza muda kumjibu huyo taahira
 
Ni
Kama wapenzi wa ccm ni wengi hivyo kwanini hamtaki Tume Huru ya Uchaguzi?
kkasema hataki tume huru ya uchaguzi, mfano wewe unaweza elezea tume huru ya uchaguzi ni ipi na inapatikanaje?
Hamna mwana ccm anayeogopa mitandao. Msijidanganye. Tupo humu, tupo X, tupo Instagram? Vyama vyte vinapiga picha, wasira kila siku yupo mitandaoni, tena kawazidi hata hao cdm. Unasemaje mitandao inaogopwa. Ccm atapost wapi content zake. Nyie jidanganyeni tu. Ila naomba majibu ya swali langu la awali.
 
kasema hataki tume huru ya uchaguzi, mfano wewe unaweza elezea tume huru ya uchaguzi ni ipi na inapatikanaje?
Wewe Neno "huru"unalielewaje? Au hoja za juzi zilizotolewa kwenye Kongamano la TLS ulizisikiliza kwa makini na kuelewa maana ya Tume huru?
 
TLS kilichofanyika juzi mm sikielewi. Naona ni uchochezi.
Tunajadili kuhusu hoja yako ya kusema Tume ya uchaguzi ni Tume huru.

Kwa ivo wale wabobevu wa Sheria walikuwa pale wanafanya uchochezi dhidi ya nini/nani na wanaochochewa ni kina nani?

Tume huru wewe unajua inatakiwa iwe na sifa zipi?
 
Nimekuuliza wewe ujibu , ww unauliza swali pia. Mara sijui TLS jibu ww mnatakaje kuhusu tume huru.
 
Back
Top Bottom