Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Jk. Nyerere tena!RIP JK NYERERE
wanafikiri wamitandaoni sio watanzania!CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani.
CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania.
CCM inajitahidi kujenga taswira kuwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ni watu wachache tena wasio na mahusiano na maisha halisi ya watanzania mitaani.
Lakini kwa takwimu za mwaka 2024, Kuna zaidi ya watanzania milioni 21 wanaotumia internet. Idaidi hiyo ya watumiaji internet ni sawa na asilimia 31 ya watanzania wote wanaokadriwa kuwa milioni 67.
Kama mitandao ya kijamii ikitumiwa ipasavyo kupeleka taarifa sahihi juu ya hali halisi ya nchi yetu, basi siyo muda CCM itapata inachostahili, yaani kutoka madarakani.
Kati ya Watanzania milioni 21 wanaotumia mitandao, milioni 20.9 tunaiamini CCM. Hao waliobaki ambao sio Wana CCM kazi yao mitandaoni ni kutukana walimu, Polisi, wanasiasa wasiowataka, Waislamu, Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste, washabiki wa Simba na Yanga na Watanzania wote walio kinyume na wao. Huo uungwaji mkono wataupata kwa nani?CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani.
CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania.
CCM inajitahidi kujenga taswira kuwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ni watu wachache tena wasio na mahusiano na maisha halisi ya watanzania mitaani.
Lakini kwa takwimu za mwaka 2024, Kuna zaidi ya watanzania milioni 21 wanaotumia internet. Idaidi hiyo ya watumiaji internet ni sawa na asilimia 31 ya watanzania wote wanaokadriwa kuwa milioni 67.
Kama mitandao ya kijamii ikitumiwa ipasavyo kupeleka taarifa sahihi juu ya hali halisi ya nchi yetu, basi siyo muda CCM itapata inachostahili, yaani kutoka madarakani.
Hizi ndizo ngwala mnazojipiga. Mara mitandao haina nguvu, mara milioni 20 kati ya milioni 21 ya watumia mitandao ni wafuasi wenu.Hao waliobaki ambao sio Wana CCM kazi yao mitandaoni ni kutukana walimu, Polisi, wanasiasa wasiowataka, Waislamu, Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste, washabiki wa Simba na Yanga na Watanzania wote walio kinyume na wao. Huo uungwaji mkono wataupata kwa nani?
Lema aliposema anatamani Simba na Yanga zisiwepo Tanzania mchecheto wake ulitokana na nini?Hizi ndizo ngwala mnazojipiga. Mara mitandao haina nguvu, mara milioni 20 kati ya milioni 21 ya watumia mitandao ni wafuasi wenu.
Kama Mko wengi kiasi hicho ule mchecheto hadi mnafunga mitandao au Magufuli kutamani malaika waifunge mitandao hutokana na nini?
Muktadha wa hoja yake uliuelewa? Haufanani hata kidogo na hoja ya Magufuli wakati ule.Lema aliposema anatamani Simba na Yanga zisiwepo Tanzania mchecheto wake ulitokana na nini?
Unapoteza muda kumjibu huyo taahiraHizi ndizo ngwala mnazojipiga. Mara mitandao haina nguvu, mara milioni 20 kati ya milioni 21 ya watumia mitandao ni wafuasi wenu.
Kama Mko wengi kiasi hicho ule mchecheto hadi mnafunga mitandao au Magufuli kutamani malaika waifunge mitandao hutokana na nini?
Kama wapenzi wa ccm ni wengi hivyo kwanini hamtaki Tume Huru ya Uchaguzi?Kati ya Watanzania milioni 21 wanaotumia mitandao, milioni 20.9 tunaiamini CCM
Ajabu kabisa!Kama wapenzi wa ccm ni wengi hivyo kwanini hamtaki Tume Huru ya Uchaguzi?
kkasema hataki tume huru ya uchaguzi, mfano wewe unaweza elezea tume huru ya uchaguzi ni ipi na inapatikanaje?Kama wapenzi wa ccm ni wengi hivyo kwanini hamtaki Tume Huru ya Uchaguzi?
Wewe Neno "huru"unalielewaje? Au hoja za juzi zilizotolewa kwenye Kongamano la TLS ulizisikiliza kwa makini na kuelewa maana ya Tume huru?kasema hataki tume huru ya uchaguzi, mfano wewe unaweza elezea tume huru ya uchaguzi ni ipi na inapatikanaje?
TLS kilichofanyika juzi mm sikielewi. Naona ni uchochezi.Wewe Neno "huru"unalielewaje? Au hoja za juzi zilizotolewa kwenye Kongamano la TLS ulizisikiliza kwa makini na kuelewa maana ya Tume huru?
Tunajadili kuhusu hoja yako ya kusema Tume ya uchaguzi ni Tume huru.TLS kilichofanyika juzi mm sikielewi. Naona ni uchochezi.
Nimekuuliza wewe ujibu , ww unauliza swali pia. Mara sijui TLS jibu ww mnatakaje kuhusu tume huru.Tunajadili kuhusu hoja yako ya kusema Tume ya uchaguzi ni Tume huru.
Kwa ivo wale wabobevu wa Sheria walikuwa pale wanafanya uchochezi dhidi ya nini/nani na wanaochochewa ni kina nani?
Tume huru wewe unajua inatakiwa iwe na sifa zipi?
Wewe umesema Tume ni huru. Jee tume kuwa huru unajua maana yake?Nimekuuliza wewe ujibu , ww unauliza swali pia. Mara sijui TLS jibu ww mnatakaje kuhusu tume huru.
Wewe umesema Tume ni huru. Jee tume kuwa huru unajua maana yake?