Matumizi ya mitandao kama zana muhimu ya kuitoa CCM madarakani!

Unanichosha tu. Ccm haiogopi watu wa mitandaoni. Naona niishie hapo,
CCM Gani isiyoogopa watu wa mitandaoni. Unakumbuka yale "maandamano ya Mange" jinsi CCM walivyohangaika nayo?

huko kwingine hufahamu lolote wewe. Maana unaandika hata vitu sijaandika.
Wewe wala hujui nini maana ya Tume Huru!!
 
Siku uchaguzi ukifanyikia X, Insta, JF au Tiktok labda ndo mtaweza shinda ila huu utaratibu uliopo kamwe CCM haitatoka madarakani. Wanachama wa CCM wana uaminifu mkubwa wa kwenda kukipigia chama kura siku ya uchaguzi. Hawa wahuni wa CHADEMA wengi wao hawapigi kura.
 
Reactions: Tui
Wewe magufuli na ufedhuli wake wote ule aliyumbishwa na mitandao ya kijamii hadi akawa hajui cha kufanya ili kuzima moto.
We tukikuambia umtaje KIGOGO Unamjua leo?
Maandamano ya mange magufuli aliingia uwanjani amechutama kwenye gari na akatia jeshi juu. Huyo mange yupo lumumba?
 
Wanachama wa CCM wana uaminifu mkubwa wa kwenda kukipigia chama kura siku ya uchaguzi
Hebu nikuulize; wewe unadhani ni kwa nini kanuni Mpya za uchaguzi zimezuia kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura!?
 
Sijui hata nikujibu nini!
 
Hata sasa hivi ni Tume Huru ya Uchaguzi. Inategemea wewe unaitafsirije maana katika social issues hakuna tafsiri Moja.
Hii siyo "social issues" bali ni "legal perceptive" na ina kanuni yake ya kutafsiri.

Hili la Tume kuwa huru ama kutokuwa huru msingi wake hujengwa juu ya Katiba ya Tanzania na Sheria mbalimbali za nchini na za kimataifa.

Tume ya uchaguzi Tanzania siyo huru!
 

Ni kweli kabisa kwamba mitandao ya kijamii ina nguvu kubwa, lakini siyo kweli kabisa kwamba nguvu hiyo inatosha kuweza kuiondoa CCM madarakani. Kamwe haina uwezo huo
 
Kikwete niliona taarifa za kifo cha Magufuli mtandaoni
Jesca niliona taarifa za kifo cha Baba yangu mtandaoni
Wasira ,Lucas Mwashamba ,Tlatlas wapiga kura hawapo mtandaoni
TCRA watanzania milioni 24 wanatumia mitandao
Nape , niliona taarifa za kutumbuliwa kwangu mtandaoni

Yaani serikali ya CCM mambo yote yapo mtandaoni ila ikifika kwenye mambo ambayo hayapo upande wao utasikia hatufanyii kaz mambo ya mtandaoni.
 
Sijui
CCM Gani isiyoogopa watu wa mitandaoni. Unakumbuka yale "maandamano ya Mange" jinsi CCM walivyohangaika nayo?


Wewe wala hujui nini maana ya Tume Huru!!
Nimekuuliza ww, sikumbuki chchte kuhusu maandamano ya mange, ccm ilifanyaje?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…