Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Wabongo hawajui nini wanatakaMkaa wenyewe bei kuliko gesi😅
Kama ana huruma na akina mama, basi apunguze Bei ya gas. Mitungi wanayo wengi na ipo nyumbani wanashindwa kujaza gas.MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,
UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.
==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa bure mitungi zaidi 452,445 ya gas kwa zaidi ya kaya 205,000 nchini kufikia 2024 ili kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi nchini.
WATANZANIA OKTOBA TUNATIKI ✅
View attachment 3402653
Pointi, Ila Serikali kushusha au kupandisha bei unaangalia mambo mengiKama ana huruma na akina mama, basi apunguze Bei ya gas. Mitungi wanayo wengi na ipo nyumbani wanashindwa kujaza gas.
Sio kweli Kuni na mkaa ni kitu halisi Gesi Ina kansa wanaotumia Gesi ndio wanaongoza kufa kwa 1. Presha 2.Gesi 3. KansaMATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,
UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.
==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa bure mitungi zaidi 452,445 ya gas kwa zaidi ya kaya 205,000 nchini kufikia 2024 ili kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi nchini.
WATANZANIA OKTOBA TUNATIKI ✅
View attachment 3402653
Tatizi la ''ngozi nyeusi'' ni kufanya siasa za kijinga kwenye kila jambo. Ndiyo maana nchi zote zenye watu weusi hazina maendeleo. Una akili fupi kama Samia.MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,
UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.
==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa bure mitungi zaidi 452,445 ya gas kwa zaidi ya kaya 205,000 nchini kufikia 2024 ili kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi nchini.
WATANZANIA OKTOBA TUNATIKI ✅
View attachment 3402653
Kuna gas inayopimwa kwa buku??Mkaa wenyewe bei kuliko gesi😅
Kama anahuruma basi ashushe bei ya umeme watu tupikie umeme ila kwenye hayo magesi hakuna kitu zaidi ya kumlipa fadhila Rostam AzizMATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,
UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.
==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa bure mitungi zaidi 452,445 ya gas kwa zaidi ya kaya 205,000 nchini kufikia 2024 ili kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi nchini.
WATANZANIA OKTOBA TUNATIKI ✅
View attachment 3402653
Hoja nzuri ila Tanzania ndio inauza ememe chee Africa Mashariki yoteKama anahuruma basi ashushe bei ya umeme watu tupikie umeme ila kwenye hayo magesi hakuna kitu zaidi ya kumlipa fadhila Rostam Aziz
labda kwa upande wa Zanzibar hata hivyo ahadi ilikuwa umeme uwe bei chee zaidi baada ya bwawa kukamilikaHoja nzuri ila Tanzania ndio inauza ememe chee Africa Mashariki yote
Tayari iko cheelabda kwa upande wa Zanzibar hata hivyo ahadi ilikuwa umeme uwe bei chee zaidi baada ya bwawa kukamilika
Ndivyo ilivyo sasa mkuuKama mnataka watu watumie gesi, basi bei ya gesi iwe rahisi kuliko bei ya mkaa na Kuni, watu wanapata Hadi mkaa wa buku na wanatumia siku mbili AU kinyume na hapo kuzeni Pato la mtz kama mna huo ubavu na hizo akili. Mkaa na Kuni vitaendelea kutumika hapa Tanzania Kwa karne.
Ukilinganisha na wapi?Tayari iko chee
Hii naunga mkonoUkilinganisha na wapi?
KWa hili wameingia chaka.Ndivyo ilivyo sasa mkuu
Uliomba ukanyimwa?Amegawa mitungi kwa wana CCM tu, acheni upuuzi.
Mkuuu 😀 Kwan ww unaugomvi na mamaUna akili fupi kama Samia.