Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

Hivi unafahamu chakula cha kupikwa na gesi sio kitamu? Hasa wali ndio sio kabisa. Ukoko wa kwenye mkaa ndio wenyewe sasa. Gesi tutachemshia chai ila wali na maharagwe ni mkaa au kuni ndio mpango. Sasa tulinganishe bei na utamu kipi bora?
😆😆😆😆😆😆
 
daah kweli nimeamini tuna safari ndefu
 
Kama ana huruma na akina mama, basi apunguze Bei ya gas. Mitungi wanayo wengi na ipo nyumbani wanashindwa kujaza gas.
walikua wakitafta wateja wapya wa mitungi ya gas LAKE ZONE. Inayomilikiwa na RIZ~1
 
Back
Top Bottom