Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

Kwamba unachukua kodi ya mwananchi ili uweze kumpa gesi ambayo unanunua kutoka nchi za nje wakati una umeme ambao ungeweza kushusha bei ? Wewe ni Msaidizi au Myonyaji ?

Sawa Mkuu ila haya ungeweza kuandikia kitabu
 
Usisikilize data za kupikwa babu zetu na bibi zetu walitumia na walikuwa na afya nzuri na kuishi maisha marefu kuliko sisi wasomi usiwasikilize sana walisema chanjo ya Corona haina shida ila sasa hivi watu wanakufa kama kuku kutokana na chanjo hyo na wengine wamepata strokes.
Sawa ila hujatubia mwisho wao ilikuwaje?
 
Wakina rostam mnapromote ajenda zenu ili tununue gesi zenu sio.
 
Suala la matumizi ya nishati safi ni jambo jema. Kikubwa acheni kuweka siasa kwenye mambo ya nayohitaji utaalamu tunalipoteza Taifa. Tutumie wataalamu katika mambo haya. Sitaki kuongea sana.
Mchango nzuri
 
Tulipoambiwa kutakuwa na ukoloni mambo leo ndio muelewe. Wazungu sio level zetu, wametuingiza mkenge tunaimba wanachotaka alafu jiulize gas tunanunua wapi? Wanajua Africa hatuna uwezo wa kuzalisha umeme wa kugosheleza wa gharama nafuu Kwa hiyo nishati safi ya kupikia tutakayohubiri itakuwa gas na gas wanatuuzia wao.
 
Hapana mbona gas yetu inatoka Songo Songo au Mnazi bay
 
Kwamba unachukua kodi ya mwananchi ili uweze kumpa gesi ambayo unanunua kutoka nchi za nje wakati una umeme ambao ungeweza kushusha bei ? Wewe ni Msaidizi au Myonyaji ?

ni balaaa
 
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,

UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.

==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo na nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa bure mitungi zaidi 452,445 ya gas kwa zaidi ya kaya 205,000 nchini kufikia 2024 ili kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi nchini.

WATANZANIA OKTOBA TUNATIKI ✅

View attachment 3402653
asante sana mama Samia
 
Back
Top Bottom