Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

Suala la matumizi ya nishati safi ni jambo jema. Kikubwa acheni kuweka siasa kwenye mambo ya nayohitaji utaalamu tunalipoteza Taifa. Tutumie wataalamu katika mambo haya. Sitaki kuongea sana.
 
Suala la matumizi ya nishati safi ni jambo jema. Kikubwa acheni kuweka siasa kwenye mambo ya nayohitaji utaalamu tunalipoteza Taifa. Tutumie wataalamu katika mambo haya. Sitaki kuongea sana.
Hoja nzuri
 
Lakini pia moto wa mkaa huwa tunautumia kwa kuchomea dawa zetu za manuwizo ili mambo yetu yatunyookee !
Sasa kwenye gesi tunafanyaje hiyo shughuli yetu pendwa ? 😳 !
 
Ndugu mleta maada mi nataka kujua kwa nini uku mtaani wajene ni wengi kuliko wagane?
hii sera ya fisiemu naona ipo kinyume na uhalisia hiyo yote ili tu kuwachota akili wamama wapate kuwapa kura.
 
Mna Nia njema lakini hamkufikiria kwa mapana zaidi!
Hivi msukuma wa Geita unampatia mtungi wa kilo 6?
 
Watumia kuni wanakufa kwa ugonjwa gani?

Hizo porojo alizileta Bwana Makamba,shawishini watu kwa elimu sahihi siyo kuwatisha!
 
Serikali isiseme inalilia vifo vya 33,000 huku zaidi ya watu 50,000 wanakufa kimya kwa kisukari na presha.

Kama kweli tunapambana na vifo, tupambane kwa wote.
Kama ni props za uchaguzi, wana haki ya kushangiliwa na walio hai, sio waliokufa.
 
huku kwetu,mkaa kipaumbele,gesi ziada kwa matumizi ya haraka.
 
Watumia kuni wanakufa kwa ugonjwa gani?

Hizo porojo alizileta Bwana Makamba,shawishini watu kwa elimu sahihi siyo kuwatisha!
Mkurya wa rolya ukamwambie kutumia kuni kunaua kuliko Ukimwi,ilihali kuna wazee wake Wana zaidi Miaka 80 wametumia mkaa na hawajafa?
Toa elimu sahihi watu waelimike na wakuelewe!!!
 
Mkuuu 😀 Kwan ww unaugomvi na mama
Kusema mtu ana akili fupi kwenye uongozi siyo ugomvi? Ni wengi hatuna uwezo wa kuongoza, hivyo ni bora tuwaachie wenye uwezo. Kla mtu ana kipaji chake.
 
Usisikilize data za kupikwa babu zetu na bibi zetu walitumia na walikuwa na afya nzuri na kuishi maisha marefu kuliko sisi wasomi usiwasikilize sana walisema chanjo ya Corona haina shida ila sasa hivi watu wanakufa kama kuku kutokana na chanjo hyo na wengine wamepata strokes.
 
Hao wanataka kupenyeza biashara ya Rostam Aziz
 
Kwamba unachukua kodi ya mwananchi ili uweze kumpa gesi ambayo unanunua kutoka nchi za nje wakati una umeme ambao ungeweza kushusha bei ? Wewe ni Msaidizi au Myonyaji ?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…