Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

Sawa Mkuu ila haya ungeweza kuandikia kitabu
 
Sawa ila hujatubia mwisho wao ilikuwaje?
 
Wakina rostam mnapromote ajenda zenu ili tununue gesi zenu sio.
 
Suala la matumizi ya nishati safi ni jambo jema. Kikubwa acheni kuweka siasa kwenye mambo ya nayohitaji utaalamu tunalipoteza Taifa. Tutumie wataalamu katika mambo haya. Sitaki kuongea sana.
Mchango nzuri
 
Tulipoambiwa kutakuwa na ukoloni mambo leo ndio muelewe. Wazungu sio level zetu, wametuingiza mkenge tunaimba wanachotaka alafu jiulize gas tunanunua wapi? Wanajua Africa hatuna uwezo wa kuzalisha umeme wa kugosheleza wa gharama nafuu Kwa hiyo nishati safi ya kupikia tutakayohubiri itakuwa gas na gas wanatuuzia wao.
 
Hapana mbona gas yetu inatoka Songo Songo au Mnazi bay
 
ni balaaa
 
asante sana mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…