Hivi unafahamu chakula cha kupikwa na gesi sio kitamu? Hasa wali ndio sio kabisa. Ukoko wa kwenye mkaa ndio wenyewe sasa. Gesi tutachemshia chai ila wali na maharagwe ni mkaa au kuni ndio mpango. Sasa tulinganishe bei na utamu kipi bora?
ππππππ