matumizi ya new ID yasitishwe humu!

matumizi ya new ID yasitishwe humu!

Halafu anakupenda the way you are hivyo kupunguza kuwa disappointed mapema.
unajua uzuri wa kutumia ID yako inayofahamika kuna faida kubwa sana unakuta humu kuna watu wanakufuatilia muda mrefu sema mtu anashindwa/ogopa kufunguka kwasababu moja au nyingine , sasa akiona unauhitaji inakuwa rahisi kufunguka.

kwanini hapo kwenye blue?
 
Kumbe watu wako serious hapa eh? Ok..lets wait n see kama kutakuwa na changes!
 
Mimi Shark natafuta demu (mwizi mwenzangu) wa kujivinjari nae tu, sitaki mahusiano ya serious, na wala tusioneane wivu!!

Nikiwa nae kitandani akapigiwa na Boyf/mume wake, rukhsa kuongea nae hata kwa mapozi. Nami pia hivyohivyo!!
 
Last edited by a moderator:
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya zinakosa mvuto wa kumvutia huyo mwenzako unayemtafuta.

inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B

jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.

Ngoja nianze mimi:
Jamani wana JF natafuta House girl mwenye sifa hizi:
  • Ajua kupika chakula vizuri
  • Mwenye umbile zuri la kuvutia
  • Wakati wa kunisevia mezani avae nguo za kuogelea/za kulalia a.k.a less material
  • Ajue vizuri ratiba zangu kwani mm nimchelewaji mzuri wa kurudi nyumbani hivyo ajiandae kunifungulia geti kila siku akiwa mwenye tabasamu na nguo kama zilivyo kwenye kipengele namba 3.
  • Awe tayari kusaidia na kazi nyinginezo kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi ambaye ni mimi.
Maagizo mengine atapewa atakayefanikiwa kupata ajira.
 
Mi nikiwa na shida sijifichi na ndo maana nashinda Love connect kumbe watu wenyewe wana vifake ID!!!
kuna mkaka mmoja namuwinda kama nini utakuta kumbe kishatangaza na new ID aagggrrr goodby love connect.

Mna mapepo ndio maana hamuolewi. Nendeni mkaombewe. Kushinda MMU na Love Connect siyo jibu, jibu ni kuPM Mwana Mtoka Pabaya awatakase kwa dushelele yake ya dhahabu halafu utaona jinsi vile wachumba watamiminika kwa shop yako
 
Last edited by a moderator:
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya zinakosa mvuto wa kumvutia huyo mwenzako unayemtafuta.

inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B

jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.

asakuta same nashukuru kwa kuliona hilo.
Mie binafsi wala sioni haja ya kujificha.
Mie Madame B, nikihitaji ushauri, mawazo au kupost chochote nakuja kwa ID yangu hii hii.
 
Last edited by a moderator:
Mi nawashangaa ndo maana kumbe wanarudi kulalamika oooh hatupati wake.....
wakati tupoSingle ladies hapa na we are Serious Searching!!!!!
mtu anakuja na kaID kapya hata hakajulikani anatafuta mke, utampataje wakati hata hakujui.

Imagine asakuta same unabandika hapa tangazo unatafuta kwanini nisite kuwa na wewe wakati nahitaji na nakujua??????
shauri enu na viID vyenu mtatafuta january to december hampati mtu hapa.........

Duh, usiwakatishe tamaa, unajua wenye ID mpya wanakutana na wenye ID mpya?
 
Kusitisha kuanzisha ID mpya itakuwa vigumu(watumiaji wengi wa jf hawataacha kufanya hivyo), labda kujaribu kubadilisha structure nzima ya JF, jambo ambalo naona wengi hawataafiki pia.
Kweli watu wana IDs lakini kwani ni za kweli? Ni fake na hazileti picha halisi ya mtu.
Kwani ni vibaya kuwa na system kama hii..
JINA KAMILI.
TAR. MWEZI NA MWAKA WA KUZALIWA(OPTIONAL )
MAHALI MTU ANAPOISHI.
PROFILE YA ELIMU AU OCCUPATION(IWE ELIMU AU BIASHARA )
LABDA SEHEM YA PICHA NA VITU KAMA HIVYO, HOBBIES NA MAMBO MENGINE.
Naamini hata comments watu wanazotoa zitakuwa na maana zaidi, sasa hivi naweza kutoa comment yoyote hata iwe ovyo, si nnajua hamna anayenifaham!
 
Back
Top Bottom