Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 271
Ishu sio jina halisi ha ha ha ila ID yako halisi.
poa tuwasiliane basi, thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu sio jina halisi ha ha ha ila ID yako halisi.
poa tuwasiliane basi, thanks
unajua uzuri wa kutumia ID yako inayofahamika kuna faida kubwa sana unakuta humu kuna watu wanakufuatilia muda mrefu sema mtu anashindwa/ogopa kufunguka kwasababu moja au nyingine , sasa akiona unauhitaji inakuwa rahisi kufunguka.
kwanini hapo kwenye blue?
i swear siku zote nlijua wewe ni ke.
Mimi nikiweka la kwangu, moja ya sharti huyo mtu awe na experience ya MMU isiyopungua 3 years ili nimfuatilie mabandiko ya nyuma.
BADILI TABIA ni ke..kawachenga kidogo tu mmehadaika..sio wewe peke ako ha ha ha!!!!!!!
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya zinakosa mvuto wa kumvutia huyo mwenzako unayemtafuta.
inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B
jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.
Mi nikiwa na shida sijifichi na ndo maana nashinda Love connect kumbe watu wenyewe wana vifake ID!!!
kuna mkaka mmoja namuwinda kama nini utakuta kumbe kishatangaza na new ID aagggrrr goodby love connect.
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya zinakosa mvuto wa kumvutia huyo mwenzako unayemtafuta.
inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B
jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.
Mna mapepo ndio maana hamuolewi. Nendeni mkaombewe. Kushinda MMU na Love Connect siyo jibu, jibu ni kuPM Mwana Mtoka Pabaya awatakase kwa dushelele yake ya dhahabu halafu utaona jinsi vile wachumba watamiminika kwa shop yako
dushelele na funza ni vitu viwili tofauti.
Funza ni nini madam?
Mi nawashangaa ndo maana kumbe wanarudi kulalamika oooh hatupati wake.....
wakati tupoSingle ladies hapa na we are Serious Searching!!!!!
mtu anakuja na kaID kapya hata hakajulikani anatafuta mke, utampataje wakati hata hakujui.
Imagine asakuta same unabandika hapa tangazo unatafuta kwanini nisite kuwa na wewe wakati nahitaji na nakujua??????
shauri enu na viID vyenu mtatafuta january to december hampati mtu hapa.........
Duh, usiwakatishe tamaa, unajua wenye ID mpya wanakutana na wenye ID mpya?