Walevi wako kwenye mgomo.. Serikali inakosa mapato
ChoiceVariable anasema uchumi unameremeta!Watu hawana hela hivyo wanakunywa mataputapu ambayo hayapo kwenye record za biashara zinazotambulika... Siku hizi bia hazitoki kabisa yani hadi nimeacha kuuza dukani
Unaona mtu anaingia dukani na chupa ya maji anaagiza soda au energy kumbe chupa ya maji imejaa gongo
Achana na huyo ng'ombe wa mamaChoiceVariable anasema uchumi unameremeta!
Kwahiyo hivi ilivyo ndio yamepungua...?
Yaani Mimi kusimamia mwezi tuu,mauzo ya pombe yamepungua! Duuh noma sana,hela zangu zilipotea Sana.
Kutokunywa mwezi tuu!Yaani Mimi kusimamia mwezi tuu,mauzo ya pombe yamepungua! Duuh noma sana,hela zangu zilipotea Sana.
Ni punda wa mamaAchana na huyo ng'ombe wa mama