Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
sheria ya manunuzi iko hivi, mtu anapotaka kununua bidhaa yoyote kwa matumizi ya ofisi ni lazima aridhishe uongozi wa shirika ama kampuni kwamba amenunua bidhaa stahiki na hakukuwa na ujanja ujanja kama vile kununua kitu kwenye duka la ndugu jamaa ama rafiki...kwa hiyo ni lazima aende kwenye maduka matatu tofauti apewe bei .....kwa bidhaa ile ile moja kuna uwezekano utakuta bei zinatofautiana ndipo ukiwa kama afisa manunuzi unatakiwa uandae ripoti ya kushawishi ofisi inunue bidhaa kwa muuzaji huyu mwenye bei nafuu yenyee ubora ule ule. kwa kawaida muhasibu hawezikutoa fedha bila ya profoma ushauru kwangu kwako kama unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa ni vyema ukawa na kitu kama tin na vrn yaani uisajili biashara yako vinginevyo utawauzia watu binafsi wasio fuata taratibu za manunuzi
Apa umemaliza nlitaka nicomment ila naona umeeleza vzuri sanaUkiulizwa swali jibu swali si kutoa majibu marefu kama wanasiasa.
Proforma Invoice ni document kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikiwa na taarifa zifuatazo.
1. Aina ya bidhaa
2.Upatikanaji wa bidhaa
3.Idadi ya bidhaa
4.Bei ya bidhaa
Proforma Invoice ni tofauti na Invoice.Invoice ni kwaajili ya madai (demand or request for payment) while Proforma Invoice are commonly used as preminary invoice with QUOTATION.
Kwahio hili ndio jibu fupi. OkUkiulizwa swali jibu swali si kutoa majibu marefu kama wanasiasa.
Proforma Invoice ni document kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi ikiwa na taarifa zifuatazo.
1. Aina ya bidhaa
2.Upatikanaji wa bidhaa
3.Idadi ya bidhaa
4.Bei ya bidhaa
Proforma Invoice ni tofauti na Invoice.Invoice ni kwaajili ya madai (demand or request for payment) while Proforma Invoice are commonly used as preminary invoice with QUOTATION.
Uki deliver mzigo unapaswa kumsainisha aliyepokea mzigo huo document ikionyesha jina bidhaa , idadi kama ulivyoagizwa ku supplyMkuu na Delivery order ina maana gani boss.
U go too personal.Kuna shida kubwa sana kwenye elimu yetu.
Thanks manUki deliver mzigo unapaswa kumsainisha aliyepokea mzigo huo document ikionyesha jina bidhaa , idadi kama ulivyoagizwa ku supply
Hata mie sikuyajua mapema kama wewe ndio maana nimecomment kuhusu tatizo la elimu yetu haswa kwenye basics za business management and financial literacy. Hivi unajua zamani walikuwa wanasoma Bookkeeping na ilikuwa compulsory ila akatokea mpuuzi mmoja akafuta. Hii nchi kuna wapumbavu wameiharibu mnoo.U go too personal.
Haya mambo mwenyewe nilikuja yajulia kazin ..
Hapa sasa nimekuelewa na 100% uko sahihi sana.Hata mie sikuyajua mapema kama wewe ndio maana nimecomment kuhusu tatizo la elimu yetu haswa kwenye basics za business management and financial literacy. Hivi unajua zamani walikuwa wanasoma Bookkeeping na ilikuwa compulsory ila akatokea mpuuzi mmoja akafuta. Hii nchi kuna wapumbavu wameiharibu mnoo.
Yes Mkuu.Hapa sasa nimekuelewa na 100% uko sahihi sana.
Hiv ni vitu basic ambavyo ikiwezekana toka primary watoto wanatakiwa wavijue
"delivery note" ni hati inayotumiwa kuthibitisha kuwa bidhaa au vifaa vilitolewa kwa mpokeaji. Mara nyingi hutolewa na muuzaji au mtengenezaji wa bidhaa na huambatana na bidhaa zilizopelekwa kwa mpokeaji. Delivery note inaweza kujumuisha habari kama vile jina na anwani ya mpokeaji, tarehe na mahali pa utoaji, maelezo ya bidhaa au vifaa, kiasi, na habari nyingine muhimu kama vile masharti ya malipo. Inatumika kama uthibitisho wa utoaji wa bidhaa na kama hati ya kumbukumbu kwa kampuni
SijakuelewaMkuu hebu haya maelezo uliyoelezea hapa yaweke kwenye clearing and forwarding kama hutojali
Sijakuelewa