#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

cheti cha ndui kiko wapi na huu ulazima ni wa nini wakati mwenye kasema ni hiari ila watu waelimishwe kwanza.kama wewe umechanja usiwalazimishe wengine kuchanja.
 
Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.
Mnawaza namna ya kuwatoza tozo wasiotaka kuchanjwa ama kuwafunga, siyo? Mama hataki mambo ya dhuluma acha kumchafua.
 
Tutajua mnataka mtemi Hangaya nchi imushinde kutawala muweke mnayemtaka nyinyi.

Mnajua akilazimisha chanjo nchi nzima watu watamgomea Kama ambavyo Sasa wamekataa.
Halafu mtakuja na ajenda kuwa mwenyekiti Hana ushawishi wowote,huenda wapinzani wakaitwaa nchi ndo Nia yenu ovu itakuwa imetimia ya kuweka mtu wenu,na Hangaya atarudi Zanzibar akijuta kuwaamini.

Hangaya yote yapo mikononi mwako jaribu tu uone.Nafikiri wewe mwenyewe ulishaagiza watu wote wavae barakoa je wanavaa?uliangalia mechi ya watani wa jadi,je mashabiki walivaa barakoa?.

Waliochanjwa ni 357000 riport ya juzijuzi Kati ya watu 60m.
Kuwasikiliza majuha Kama huyu itakucost yetu macho.
 
Itakuwa wewe ushachanjwa ushaonja shoti ya umeme Sasa unatafuta wa kufa nao
 
Tatizo wakina
Samiha
Gwajima waziri na viongozi wote wakuu waliwaaminisha watu kwamba Tz haina corona wala hahiitaji chanjo halafu out of blue mje mseme tunahitaji chanjo.


Mnadhani watz ni wajinga kiasi hicho muanze kuwabadilishia kauli,mara leo hivi mara vile.
 
Sam waue mafaler hao
 
Kukataa chanjo ni kama kutaka kujiua au kudhuru wanajamii wengine. Hii sheria ifuatwe tumalize kazi haraka. Kwa ubishi wa watz kama zisingekuwepo sheria hata chanjo zingine za watoto wazazi wangegoma tu. Punguzeni woga chanjo ni salama.
Wewe usiyetaka kufa ukichanjwa inatosha maana autoambukizwa, hao wasioogopa kufa waache waambukizwe
 
Je Sheria ipo na inasemaje ndani ya Taifa letu lenye kufuata utawala wa Sheria?
 
Na corona ikikupata usitusumbue wala usisumbua ndugu zako. Ujinga mzigo kweli, mtu unaishi na chanjo kama tano mwilini tena za haohao wazungu halafu unajifanya mjanja pori kupinga chanjo ya Covid- 19, Pathetic!
 
cheti cha ndui kiko wapi na huu ulazima ni wa nini wakati mwenye kasema ni hiari ila watu waelimishwe kwanza.kama wewe umechanja usiwalazimishe wengine kuchanja.
Ili waendelee kusambaza virus sio?
 
Ulimwenguni kote makundi yote mawili ya waliochanjwa na ambao hawajachanjwa yamejaa hofu na mashaka juu ya chanjo. Waliochanjwa hawajui Nini kitawapata baadae na ambao hawajachanjwa wanawaangalia waliochanjwa nini kitawapata waliochanjwa. Lakini mpaka Sasa ambao hawajachanjwa wanaonekana kuwa na unafuu wa mashaka kuliko waliochanjwa mana kila leo yanaibuka mambo mapya juu ya hizi chanjo. Mungu ndiye atakayetupa tumaini. Ila waliochanjwa mh! Tusubiri tuone.
 
Mkuu inajulikana kabisa nini kitatokea, ukiwa mfuatiliaji wa karibu wa jambo hili ----- THE VACCINE DEATH REPORT – Millions Are Dying From The Injections
 
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Emergency kwa Lipi? Wapi? Lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…