#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

Hahaha, hao ni wapinga chanjo kama wewe ndugu. Hakuna kitu kama hicho. Hiyo conspiracy haina tofauti na ile ya Gwajima ya kugeuka Zombie na kutoa chaji za umeme.
mkuu, VAERS nao ni wapinga chanjo?



SOURCE: Welcome
 
Hahaha, hao ni wapinga chanjo kama wewe ndugu. Hakuna kitu kama hicho. Hiyo conspiracy haina tofauti na ile ya Gwajima ya kugeuka Zombie na kutoa chaji za umeme.
Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.

Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.

Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
 
Umati wa watu haujui kinachoendelea. Inasikitisha sana. Tunajaribu kuwasaidia waone lakini ni vigumu kwelikweli.
 
Umati wa watu haujui kinachoendelea. Inasikitisha sana. Tunajaribu kuwasaidia waone lakini ni vigumu kwelikweli.
Wlishameza propaganda. Hata ukisemaje wengi hawataki kuona, wanafumba macho. Wanapingana mpaka na watengenezaji na mpaka FDA. CDC na Fauci walishawaharibu fikra. Mungu awasaidie!
 
Wlishameza propaganda. Hata ukisemaje wengi hawataki kuona, wanafumba macho. Wanapingana mpaka na watengenezaji na mpaka FDA. CDC na Fauci walishawaharibu fikra. Mungu awasaidie!
Ni kweli kabisa. Juzi nilimsikia mzee mmoja Iringa walikosema wamechanja asilimia 70 (of course ya dozi 7000), yaani alitoa povu si mchezo kwa sababu eti watu wengine wanapinga chanjo wakati wataalamu wamesema iko salama. Nikasema, Ee Mungu wa mbinguni. Saidia watu wako
 
 
We Kama umechanjwa inatosha acha ujuaji.
 
Tusilazimishane vitu vya kipuuzi. Kila mtu aamue kwa hiyari yake kuchanja au kutochanja.

Anayechanja amekubaliana na madhara yanayoweza kusababishwa na chanjo.
Asiyechanja ameridhika na hali ya kujilinda kila wakati na kuwa tayari kukabiliana na athari kama zitajitokeza.
 
Huyu mbona haelewi,matibabu Ni hiyari ya mgonjwa.sisi hatuchanjwi kwani hakuna lolote juu ya ubora na uimara wa chanjo.
 
Acha ushamba ww umemsikia nick Minaj alichokisema kuhusu chanjo .
Kwa hiyo wewe unamuamini huyo mvuta bange na anayejidunga masindano kila siku ili kuongeza matako yake kuliko wataalamu wa Afya?
 
Hivi juzi tu UK wamesema mtu yeyote alie chanjwa Africa ana chulukiwa kama hajachanjwa akifika huko. [emoji23][emoji23]
 
Wasomi nchi hii ni vichekesho tupu,kamekalili Sheria kanaona Sheria ikiapply Kila mahali,kimsingi wasomi nchi hii ni mzigo usofaida.
 
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Tutaona.
 
Rubbish
 
Afya ni yangu, nchi ni yangu sipangiwi namna ya kuishi

Shut up!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…