#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

Kama sheria inasema chanjo ni lazima, kwanini serikali ya CCM ilivunja sheria na kusema kwa imma kwamba chanjo ni hiyari?
 
Babu nina chanjo ya polio mbona hicho cheti hamkunipa kwa mujibu wa sheria? Nendeni mkaichanje hiyo sheria kwanza
 
Wewe mkuu ni umbwa kama umbwa zingine!
 
Ati kulinganisha na ndui ni ujinga? Google "smallpox vaccine resistance'uone evidence kama hazipo. Kwa taarifa yako dunia ilipata taabu kuadminiser chanjo hizo kama ilivyo kwa Corona. So, hakuna kipya. Tofauti tu ni kuwa hakukuwa na mitandao ya kukufikishia wewe taarifa kama ilivyo leo.
 
Kwa hiyo,wewe unaakili sana kuliko aliyetengeneza hizo chanjo,yeye anasema ni hiari.
 
Mh. Mbowe aliwaambia kwamba hili la Corona ondoeni kipengele cha HIARI ili kuhakikisha zoezi linakwenda inavyotakiwa na WHO - mkamshambulia kwa maneno ya kejeli - kiko wapi sasa.
Unatoaje hiari unaweka lazima wajati aliyetengeneza anasema ni hiari.
 
Kwani weye mjukuu gwaji?
pumbavu kamtishe mama yako
Kitisho ulichokiona ni kipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…