Maparachichi mengi ya siku hizi mabaya kweli. Hayana ladha kabisa.
papai,Tango,nyanya,kitunguu,.....
Muwa + PeraTukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Hivi kitunguu ni tunda?papai,Tango,nyanya,kitunguu,.....