LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
EmbeTukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Papai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EmbeTukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Papai, parachichi, doriani, nyanya, tango, nanasi, embe.
Hii dorian ndo tunda gani, maana tumezoea dorian kwenye muziki ni aina mojawapo ya scale
Embe ng'ongo na mabungoTukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Hii dorian ndo tunda gani, maana tumezoea dorian kwenye muziki ni aina mojawapo ya scale
NI tikiti majiTukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Aiii[emoji1783]Embe[emoji108][emoji108][emoji108]
Kingsmann
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Hata mademu wa siku hizi, wazuri sana lakini kitandani hawana ladha ndio maana wanatoa jicho
Hauna mboga mkuu?Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
😂 😂 😂Tafuta limao mkuu.
Papai na ndiziTukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?